Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,695
- 45,011
- Thread starter
- #61
Umepata jibu mkuu?Najaribu kuunda doti.
Umepata jibu mkuu?Najaribu kuunda doti.
TrueWewe unapiga kura . wao wanachagua
Uko vizuriNimeanza kuelewa taratibu.
Kama ambavyo Kipilimba alivyopangwa na kuondolewaKila kitu kiko programmed
Not likely!Duh au ndio walipanga 2020 kusiwe na upinzani
Wako kama 30Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga
Naona kila dalili ya hili kutimia ila ngoja tuone...Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Deep state inataka kufanana na united state
Au na we ni mmojawapo wa memba wa "deep state "?Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Tungewajua hata member wa tano wa deep state hapa TzUchaguzi huu Deep State wako upande wa nani?
Ndio maana kuna Mshkaji mmoja kila siku analalamika "Mniombee"
Kwahyo nae anaiogopa hyo Deep State? Ina maana yeye licha ya kuwa namba 1 hawajui hao members 50 wanaounda Deep State ili awashughulikie?
Kwa lugha nyingine mwandishi unatuambia kuwa Deep State pia ni watu wasiojulikana?
Naomba majibu...
Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Unataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...
Deep state anayoipigia kelele Trump kila siku ni ile ya kina Obama,Clinton,FBI Officials,na Director of National Inteligence anaitwa Clapper.Nafikiri Deep state ya waanzilishi wa Marekani ndo waliomuweka Trump ikulu badala ya Clinton,Ili kupambana na China maana USA ilikuwa shamba la bibi.
Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga