Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Yaani wewe kweli Zembwela, kwa mara nyingine umemvua nguo baba yako, jinsi alivyotupa ada yake bure kusomesha ngumbaru kama wewe.

Baba yako aliuza ng'ombe ili asomeshe ng'ombe mwingine.

Aliyekuleta duniani kwa kuchanua matairi nyuzi360 alipata kukuweka tumboni kwa tamaa ya kupewa nokia torch na yule domo zege bingwa na mwenyekiti mtendaji wa chaputa.... aliyetolewa mikunjo kunjo palr kati kalioni na vidore vya aliyekumeza wakati akimpapatikia kwa shangwe za kupewa nokia torch..poor man akatema akatapikwa popoma mmoja anapewa jina forteza naye hapendi kumiliki mikonjo kama baba yake anatamani kumiliki iPhone 6 kama mama ayek alivyotamani nokia torch
 
Kwa iyo kwa wale wanaowazia uraisi eg (Mr II/sugu, nikki wa II, zitto kabwe, maalim sief Hammad, raila odinga na wengine wengi) unawashauri nini?
 
Aliyekuleta duniani kwa kuchanua matairi nyuzi360 alipata kukuweka tumboni kwa tamaa ya kupewa nokia torch na yule domo zege bingwa na mwenyekiti mtendaji wa chaputa.... aliyetolewa mikunjo kunjo palr kati kalioni na vidore vya aliyekumeza wakati akimpapatikia kwa shangwe za kupewa nokia torch..poor man akatema akatapikwa popoma mmoja anapewa jina forteza naye hapendi kumiliki mikonjo kama baba yake anatamani kumiliki iPhone 6 kama mama ayek alivyotamani nokia torch
Bado unazidi kujiaibisha hapa mtandaoni. Umewaangusha sana wazazi wako, wamekulea katika maadili ya hovyo sana, ona unavyobwabwaja, kila mtu anajua wewe dish limeyumba.
 
Bado unazidi kujiaibisha hapa mtandaoni. Umewaangusha sana wazazi wako, wamekulea katika maadili ya hovyo sana, ona unavyobwabwaja, kila mtu anajua wewe dish limeyumba.

Kila mtu nani??????? Mimi naongea nawewe kibudu kama lugha chafu umeanzisha wewe alafu unataka huruma ya watu ili iwaje???

Mpumbavu mkubwa wewe
 
Mbona mtoa mada anatukanana inamaana hajui alichowasilisha humu au anasubir akopy muendelezo mwingine????
 
Rudia kusoma comment yangu kwa mara ya pili kisha uielewe nimetumia njeo ipi.

Siku nyingine usipende kukurupuka tu kama unaoga nje.
Sina haja ya kurudia kusoma,Umeelewaka vizuri tu maana hukuandika kihindi hapo,..
"Umesema kuthibitisha uwepo wa deep state,Trump atakuwa rais wa awamu moja tu"
Nimekwambia iyo deep stateya kina Clinton na Obama haiwezi fanya chochote,sababu ni ya kimagumashi tu.The real deep state ndio iliyomuweka Trump pale,na atashinda tena 2020.
Next time tuliza bichwa,usije na mihemko yako kama umelewa chang'aa.
 
Deep State kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.

Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa.

Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.

Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache.

Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.

Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.

Itaendelea...
Very interesting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom