Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga
no.jpeg
 
Kama unaamini kwamba utajiri unaamuliwa na deep state endelea na conspiracy theory zako. Mataifa yenye deep state ni yale ya kitajiri. Kwa nchi yetu deep state ilitaka kujitokeza kupitia kundi la wanamtandao lakini ishavurugikaa
 
Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Unataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...
Deep state anayoipigia kelele Trump kila siku ni ile ya kina Obama,Clinton,FBI Officials,na Director of National Inteligence anaitwa Clapper.Nafikiri Deep state ya waanzilishi wa Marekani ndo waliomuweka Trump ikulu badala ya Clinton,Ili kupambana na China maana USA ilikuwa shamba la bibi.
 
Rudia kusoma comment yangu kwa mara ya pili kisha uielewe nimetumia njeo ipi.

Siku nyingine usipende kukurupuka tu kama unaoga nje.
 
Nimeshangaa huyu gt ameshindwa kujua iphone 6 ipi bora kati ya 6,6s alafu aweze kuandika uzi mzito kama huu..

Uki copy sehemu uwe unamtambua uliyemkopi
We jamaa ni kilaza wa hali ya juu sana.

Toka lini kuwa great thinker ndio kigezo cha kujua kila kitu?

Umeniangusha sana, umewaangusha walimu wako kuanzia wale waliokufundisha ukiwa baby class. Pia umeaibisha wazazi wako.
 
Acha kukuza upumbavu wako!!hakuna anayejua kila kitu na hakuna asiyejua kila kitu lakini kuna vitu vya kipumbavu gt lazima avijue tu...

Wewe unajiita gt unaanzisha uzi wa kujua iphone 6 ipi ni bora?
Umeshindwa kwenda google? Au kwwnye forum ya iPhone huko..
 
Yaani wewe kweli Zembwela, kwa mara nyingine umemvua nguo baba yako, jinsi alivyotupa ada yake bure kusomesha ngumbaru kama wewe.

Baba yako aliuza ng'ombe ili asomeshe ng'ombe mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom