2introvert
Senior Member
- May 25, 2017
- 156
- 292
Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga
Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga
Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.Huwa ni maneno tu
Je hata USA wapo maana Trump kawapiga chenga
Jamaa bhana... nimechekaBasi watusaidie kufanya masahihisho kwa huyu jamaa 2020.
Jamaa bhana... nimecheka
Hahahahah..mzee kuwa mpole tu..kumbe umecopy na kupest hapa...ila shukrani pia kwa kuleta huu Uzi hapa..muhimu utoe creditKwahyo umejiona mjanja? Tuma salamu kwa watu watatu
Wanasema Ni yule Bwana evarist chahali aliekua shushushu wa TISS akakimbilia ScotlandHuyu daudi balali ndio nani?
Sijui kwanini nmeielewa hii ayaDeep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.
Unataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Rudia kusoma comment yangu kwa mara ya pili kisha uielewe nimetumia njeo ipi.Unataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...
Deep state anayoipigia kelele Trump kila siku ni ile ya kina Obama,Clinton,FBI Officials,na Director of National Inteligence anaitwa Clapper.Nafikiri Deep state ya waanzilishi wa Marekani ndo waliomuweka Trump ikulu badala ya Clinton,Ili kupambana na China maana USA ilikuwa shamba la bibi.
We jamaa ni kilaza wa hali ya juu sana.Nimeshangaa huyu gt ameshindwa kujua iphone 6 ipi bora kati ya 6,6s alafu aweze kuandika uzi mzito kama huu..
Uki copy sehemu uwe unamtambua uliyemkopi
We jamaa ni kilaza wa hali ya juu sana.
Toka lini kuwa great thinker ndio kigezo cha kujua kila kitu?
Umeniangusha sana, umewaangusha walimu wako kuanzia wale waliokufundisha ukiwa baby class. Pia umeaibisha wazazi wako.
Yaani wewe kweli Zembwela, kwa mara nyingine umemvua nguo baba yako, jinsi alivyotupa ada yake bure kusomesha ngumbaru kama wewe.Acha kukuza upumbavu wako!!hakuna anayejua kila kitu na hakuna asiyejua kila kitu lakini kuna vitu vya kipumbavu gt lazima avijue tu...
Wewe unajiita gt unaanzisha uzi wa kujua iphone 6 ipi ni bora?
Umeshindwa kwenda google? Au kwwnye forum ya iPhone huko..