Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
8,200
Points
2,000
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
8,200 2,000
Ndio maana kuna Mshkaji mmoja kila siku analalamika "Mniombee"

Kwahyo nae anaiogopa hyo Deep State? Ina maana yeye licha ya kuwa namba 1 hawajui hao members 50 wanaounda Deep State ili awashughulikie?

Kwa lugha nyingine mwandishi unatuambia kuwa Deep State pia ni watu wasiojulikana?

Naomba majibu...
Unashughulikia watu ambao baadhi yao wamekufikisha hapo ulipo na pengine wanajua hata muda ambao huwa unaingia kitandani kulala? Ulipo tupo n.m.b karibu yako.
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,433
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,433 2,000
Bangi bhaana... Inapelekea watu kuhisi kwa kutunga tunga story tu...

Vitu vigumu wao waanatake easy tu.

Kila la kheri na deep state yako
 
Freelancer

Freelancer

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
2,782
Points
2,000
Freelancer

Freelancer

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
2,782 2,000
Kama unaamini kwamba utajiri unaamuliwa na deep state endelea na conspiracy theory zako. Mataifa yenye deep state ni yale ya kitajiri. Kwa nchi yetu deep state ilitaka kujitokeza kupitia kundi la wanamtandao lakini ishavurugikaa
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
2,080
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
2,080 2,000
Ina maana daudi balali asipotoa mwendelezo na ww ulie kopy na kupaste humu hutaendeleza kitu mkuu???
 
Lakunle

Lakunle

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
261
Points
250
Lakunle

Lakunle

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2018
261 250
Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.
Sijui kwanini nmeielewa hii aya
 

Forum statistics

Threads 1,336,205
Members 512,562
Posts 32,530,421
Top