Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

Kwa sasa ananunua mchina...ndo alishinda tender ya kununua mkonge..soko lipo..na ananunua bei nzuri tu, kwa wale ambao wako tanga wala hatuna shida kwenye uvunaji wala ulishaji (production) ni kiwanda kinafanya yote, kazi yako ni ku sign na kupokea pesa tu.
kwa hiyo unamaanisha hapo pembeni ya mashamba yenu ndio kuna viwanda?
 
kwa hiyo unamaanisha hapo pembeni ya mashamba yenu ndio kuna viwanda?
yapo jirani.....mengine yapo zaidi ya 20km.
sema wakulima wapo wengi na mashamba ni mengi pia, nandomana hata shamba likiwa mbali trekta litafata mzigo popote na litapeleka kiwandani, trekta linakuwa la kiwanda, all operations cost unakatwa ila si kiasi kikubwa sana.
 
kwa mfano ukiwa na hekari moja ya mkonge baada ya mavuno unapata pesa ngapi kama faida?

tunalima kwa hekta mkuu, nkimaanisha heka mbil..hapa itatgmea na singa za mkonge wako, nadhani mtoa mada juu kaeleza UG na SS kwa kina...ila kwa makadirio ya kawaida ni kila hekta mill 3 apo umetoa oparation costs .kama mkonge wko uko vzuri..kama una hekta 12, kweny 30 mill unapiga vzuri tu bila shida ukitoa all costs.
 
kwa hyo mkuu kwa mtu aliyelima heka moja inabidi asubilie faida ya laki 5 baada ya miaka 4?
mbona hailipi
Na kwanini ulime ekari moja tu? Lima ekari kuanzia tano hivi which means ukishaanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wa kushika milioni moja na laki mbili kwa kila hekari so kama umelima ekari hamsini ina maana una uhakika wa kushika milioni 60 kila mwaka

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mmeongea mengi kuhusu mkonge na inavutia kwa uwekezaji wa mda mrefu.

Naomba wenye connection ya kupata mashamba yaliyo karibu na sehemu hizo wafunguke na bei zake kwa ekari. Natumaini hilo litakuwa Jambo jema.
 
lipo hekta 12 sawa na ekari 30..mill 48.
Huwa hayapatikani kama ulivyodai, mara nyingi watu hupanda wenyewe na maeneo kupata ckuiz ni ngumu...Ni kama bahati juzi kupata mtu anayeuza shamba lake maeneo ya korogwe ..ukitaka namba sema nikupatie
 
Mwishoni mwa mwaka 2018 nilisoma andiko la Mr Mbaraka (Mtafiti wa Mkonge) ambalo liko kwenye uzi huu. Nilipendezewa nalo na kumpigia Simu. Akanielekeza sehemu ya kupata miche. Nikaenda Mlingano Tanga kupata picha ambayo nilipanda shambani kwangu Morogoro. Niliongezea na miche mingine kutoka katika shamba la Mkonge la Morogoro hapo Mkambalani (Mikese). Kwa kweli baada ya mwaka na miezi Kama 8 shamba langu linaonyesha matumaini na Nina nia ya kuongeza shamba. Lengo langu nikifishe walau hekita 40 kwa miaka 2 ijayo.

1606170878532.jpeg
 
Vijana tuchangamkie hiki kilimo kinaweza kuwa mkombozi. Nasikia wakulima wa korosho wanalalamikia ukosefu wa magunia wakati mwingine. Tukiwa na Mkonge wa kutosha hili tatizo kitaisha maana tunaweza kuingia katika kutengeneza magunia zaidi kwa ajili ya korosho na mazao mengine.
 
Back
Top Bottom