Vifo vipo vingi sana ila sirikali havivitambui kama ni vya korona ila type ya uzikaji tu unagundua ni covid19 issue maana inakuwa na WAJUBA waliovalia PPE.Lakini vifo pia Hakuna hii inamaanisha corona ni km mafua tu
Sio UOGA, ila wanajua thamani ya UHAI.Janga la corona, limedhihirisha kwamba wazungu ni waoga, sijui kwa sababu wote wamesoma.. unajua kuto kusoma nako ni faida kwa kuchukulia mambo poa.
Wazungu saizi wanaogopa corona kuliko hata simba wakati africa bando matangazo ya disco na sherehe yanaendelea kubandikwa.
Tumeona wazungu wakikimbia africa, wana amini watakufa na corona, lakini cha kushangaza hakuna corona africa kama ilivyo kwa wazungu.
WHO ilitabiri kuona maiti zikizagaa wakasahahu kwamba bara la africa ndilo lenye binadamu fit wenye afya kuliko mabara mengine. Africa hakuna huduma za afya ukiona mtu anatembea ujue yupo fit.
Lifespan inategemea mungu kakuamuliaje na kwenye vitu vichache sana ambavyo hata wewe ukivifanya utaishi miaka mingi tu .Lakini umeshajiuliza kuhusu life span yao na yetu? Manake sio tu kusema mtu yuko fiti lakini hatoboi zaidi ya miaka 60 wakati hao 'waoga' wanadunda hadi miaka 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni quicl explanation ya mawazo ya wabongi wengi kwa sasa. ni wachache wenye kuuona ukweli.We Tabutupu unashangaza kweli. Hao jamaa si waoga,bali wanazingatia tahadhari.
Umeshawahi kutafakari kuhusu ujasiri wa Mzungu kwenda Sayari za mbali (Mars na Mwezini) kwa mwendo wa maelfu ya maili, huku hawajui kule wangekutana na viumbe wa aina gani au hatari gani?
Leo kuna wasomi vijana wa Kiafrika ni waoga kupangiwa kazi vijijini, wanaogopa mazingira ya huko Ila Wazungu hawakuogopa kwenda kwenye mapori manene ya Africa na America kwenye miaka ya 1400s, na bado hawaogopi kwenda to the space.
Sisi UJINGA wetu ndo tunaufanya ujasiri. Na kama ni ujasiri basi tunao kwenye mambo ya KIPUMBAVU.
MSAADA.Uhispania ambayo ni nchi ya pili kutembelewa zaidi duniani hupata wageni takriban Milioni 80 kwa mwaka inajipanga kufungua sekta ya utali
Ingekuwa in huku kwetu tungesema Hilo tukio limefanyika kuisahau coronaSi mmeona Marekani wanavyoandamana dhidi ya mauaji ya George Floyd? mmeona protester aliyevaa barakoa? Mmeona social distancing? Si mmeona wanavyoshikamana mikono? Si mmeona wanavyoimba kwa sauti wakiwa wamesongamana kwenye maandamano? Corona iko wapi hapo?
Walikuwa wanatudanganya tu mbona sasa hawatangazi tena hata idadi ya kila siku ya maambukizi? kama walivyokuwa wanatupa stress bure labda walikuwa na lao jambo!Si mmeona Marekani wanavyoandamana dhidi ya mauaji ya George Floyd? mmeona protester aliyevaa barakoa? Mmeona social distancing? Si mmeona wanavyoshikamana mikono? Si mmeona wanavyoimba kwa sauti wakiwa wamesongamana kwenye maandamano? Corona iko wapi hapo?
Tumeshaambiwa kuchanganyikana kunaongeza immunity. Ninyi hamtaki immunity?Ingekuwa in huku kwetu tungesema Hilo tukio limefanyika kuisahau corona
Mask wapo wanaovaa.. Ila labda nimapema kujua kama haya maandamano yanaongeza kusambaa kwa corona.
.hahahahahaha.....Tumeshaambiwa kuchanganyikana kunaongeza immunity. Ninyi hamtaki immunity?
Good point but is nothing but conspiracy theory.Au Ni trick ya hao "IILUMINATI NA FREEMASON"?
Kwamba wameona watu hawafi sana hasa blacks Kama walivyopanga walivyocheza karata ya Covid-19.....
Wakajiuliza tufanyeje???
Jibu Ni kill a black person to incite chaos ambapo watu watatoka tu nje hasa blacks kuandamana then maambukizi yatakuwa makubwa..
Hapa duniani hasa America hakuna kitu kinatokea randomly......hii inaweza kuwa iko planned..
Let us wait and see baada ya haya Maandamano...level ya infection kwa black Americans itakuaje....