Fahamu kama iphone yako ni Brand new au refurbished pamoja na origini ya iphone.

IMG_2512.jpg

Hii yangu ndo feki au sielewi haina cha M wala F ila ni N
 
iPhone ni iPhone sijui unauziwaje Feki kuna watu 2020 bado akili za kujua feki na OG ni Tatizo bado sio simu tu hata vitu vingine unauziwaje feki .?? SMH

Tumetofautiana kuna wengine ambao hawajai kumiliki wanakua na mihemuko
 
Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu simu janja iphone wengi wamekuwa wakipigwa na kuuziwa simu feki, refurbished nk. Nikaona ni busara nikaandaa uzi kuhusu iphone users na ambao wanataka kuanza kutumia iphone waweze kuelewa vitu muhimu kuhusu iphone.

Leo nitazungumzia namna ya kujua kama simu ni brand new, Refurbished. Sasa hapa twende taratibu iphone ikiwa brand new hapa inamaanisha wewe ndo unaanza itumia kwa mara ya1, nenda “setting “ kisha “general” afu nenda option ya “about” hapo utaona sehem imeandikwa “model number” kama inaoonesha kwa picha hapo chini.,
View attachment 1659634

Herufi ya kwanza ndo inaonesha kama simu ni new au refurbished
M = Brand new
F= Refurbished
N= Ikiwa iphone itaanza na N, Apple ilitoa kama kifaa mbadala cha iPhone isiyofanya kazi.

Ukiona iphone yako kwenye model number imeanza na “M” jua hio iphone ni brand new ila kama utaona “F” basi jua hio iphone ni refurbished.

Jambo la 2 kujua origin ya iphone, hapa wengi tumetofautiana sana iphone zinatengenezwa kutokana na mazingira ya nchi husika ndomana iphone ya uk, US au china zinakuwa sawa ila kila kitu lakn kuna vitu ndani special kwa sehem husika. Japo kibongo tunatumia sana za china, uk na US. Swali linakuja utajuaje origin ya iphone yako?? Ni simple tu kama nilivoelekeza hapo juu utarud palepale kwenye “Model number” ili kujua origin yake kuna herufi zinawakilisha
View attachment 1659635

LL= USA
BT/ZO= Uk
C/A= canada
CH= china
AB = saudi Arabia , UAE

Sasa herufi za mwisho kabla ya slash ndo znaonesha origin ya iphone yako mfano hapa yangu origin yake ni USA .

Hio model number inaonesha kama simu ni mpya, refurbished nk na origin ya simu kama hujaelewa karibu kwa maswali.
View attachment 1660034
View attachment 1660035
AA/A hii itakuwa ni ya wapi mkuu
 
Mkuu kwa sasa Iphone gani ndio nzuri ya kununua kwa utaalamu wako, kati ya 6+ na 7+
 
Mie yangu ni m mwanzo mwisho ni H/A itakuwa ya wapi japo alonipa alisema ni ya germany
 
6s+ ikoje mkuu kwa matumizi ?
iko vizuri ila huwezi ilinganisha na 7plus.
ina ram 2gb wakati 7plus ina 3gb.
ina camera nzuri ya 12mp,ila 7plus ina dual camera inapiga potrait.

yaani kigugumizi labda 6s vs 7plain,ingawa nazo hazilingani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom