Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Haya mafuta nimeyatumia na mineyakubali ila sasa pa kuyapata ndo sijui maana aliyekuwa ananiuzia anadai kampuni imefungwa, mwenye kujua pa kuyapata tafadhali anisaidie.


Kuna hawa wanauza vitu toka Uk
IMG_4302.JPG
wana vitu vizuri sana vimenisaidiaa mnoo
 
Tukiwaomba muweke sura zenu tuone uso unavyongaa najua hamtoweza ila tuwaombe muweke hata picha za mikono au upaja tuone Jinsi mlivyomeremeta Mana nataka na wifi enu nimtafutie kitu inamfaa nshampa sana Palmer's lakini naona kawaida tuu msione nimewadharau bali nawaheshimu na kuwapenda pia Beef Lasagna Shunie Depal sinyora yna2 Patience123
Palmer's hakuna kitu inafanya, me napenda tu vile inanukia
 
Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukuru sana Mungu dear

Baadhi ya ngozi kwikwi sana haitaki ule hiki wala kile haitaki joto haitaki baridi haitaki mafuta haitaki ukavu ili mradii karahaa huna rahaa
 
Shukuru sana Mungu dear
Baadhi ya ngozi kwikwi sana haitaki ule hiki wala kile haitaki joto haitaki baridi haitaki mafuta haitaki ukavu ili mradii karahaa huna rahaa
Kwa kweli huwa namshukuru sana Mungu. Siku hizi nimeanza kudeal na vitu natural hata lotion nilipumzika for like 6 months ila nikiwaambia watu sipaki kitu zaidi ya vitu vya asili wanaona nawanyima vipako vyangu
 
Naomba weka picha ya kopo la hayo mafta ya nazi mana dukan kuna mengi mpaka unashndwa kuchagua
Tumia hayo mafuta , kwenye maduka yanauzwa Kati ya 1500-2000


Halafu uje kurejesha mrejesho hapa. Hayo mafuta yafanye kuwa sehemu ya maisha yako mwanaume kupaka sehemu za siri kila baada ya kuoga.


Utaona mabadiriko baada ya wiki.
IMG20210522111204.jpeg
IMG20210522111152.jpeg
 
Back
Top Bottom