Fahamu jinsi ya kutumia LinkedIn kupata ajira

Mbona easy sana kuwajua

Ukifungua jina la kampuni husika mfano Coca-Cola, LinkedIn itakwambia Coca-Cola ina employees mfano 450 ambao wako LinkedIn.

So unafungua tu ile list maana wana majina na titles zao.
Mkuu sawa, unaweza ukawafollow lakini usipewe mchongo,

Ulimwengu wasasa kama huna referee au mkwanja utaishia kutuma ujumbe na hakuna reply yoyote, ni wachache sana wenye moyo huo hata kukujibu tu.

Any way, LinkedIn ni nzuri tusikate tamaa.
 
Kupitia LinkedIn Nimeshatumiwa ujumbe na ma operations managers wa makampuni mawili..wakitaka kunipa kazi.

Ila niliwaomba niwape the best people i trust kwenye zile kazi walizokua wanataka

Niliko am good.
Wewe ni Fresh au una maExperuence ya miaka 10
 
Back
Top Bottom