Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

Thanks..
Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je?
Sina uhakika kuhusu iphone 13 kwa sababu sijaijaribu.

Lakini kwa kuwa ni product ya Apple, lazima Apple watakuwa na serial number yake kwenye database yao. Kwahiyo njia hii inaweza kufanya kazi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom