Fahamu Jinsi ya kupata chanel za Dstv kweny simu yoyote hata iPhone na computer yoyote

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
809
923
JINSI YA KUTUMIA AU KUANGALIA CHANNEL ZA DSTV KWENYE SIMU YAKO YA SMARTPHONE AMA COMPUTER NA LAPTOP IWE YA IPHONE, IPAD, TABLET HATA KAMA HUNA KING'AMZI CHA DSTV

Kwanza kabisaa kama una kisimbuzi, king'amzi cha Dstv jisajili na Dstv kwa kuingiza namba za smart and za Dstv, utatumiwa code, KAMA HUNA KING'AMZI USIJALI KUNA NJIA PIA YA KUFANYA na itafuata utaratibu watakao kuelekeza mpaka utamaliza iwe kweny app yao kwa kutumia cm au vovote

NJIA YA 2 KWA KWA WANAOTAKA KUTUMIA KWENYE COMPUTER LAPTOP AMA SIMU

Ukisha maliza kujisajili na Dstv kweny cm yako au ukiwa na details za account ya Dstv iwe yako au rafiki yako CHA MHIMU UWE NA EMAIL AU NAMBA YA CM ALOTUMIA NA PASSWORD ALOTUMIA ingia kweny browser ya cm yako au computer yako au laptop kisha pale kweny engene search Dstv now na itafunguka na baaada ya kufunguka kina web au link ya kwanza kabisaa ya Dstv hiyo iguse itafunguka pia itakuepeleka kweny web yao utakuta kulia kwa juu kuna sehem pameandikwa log in na chini sign in sjuii kama nitakuwa nmechanganya au vp ila ww kaguse ili link ya juu kilia kwako au hata ikiwa katikati ila iwe ya juu itakudai uwekw details zako weka email ulotumia kujisajili dstv na chini itataka password nayo utaweka pale juu kweny email ikizingua na kukuandikia invalid utatoa hiyo email na utaweka namba ya simu ulotumia kujisajili utaiweka kwa kuanza na 7 au 6 kuendesha usianze na 0756 69... Au 062028... No anza na 7 au 6 kuendelea kumbuka kuweka Tanzania kisha log in au inter na itaload kwa mda na itafunguka ikiwa hizo details ulizoweka ni sahihi na utakuwa unakula raha tu ikifunguka unaweza kukuta vibox mfano wa picha vyenye majina kwa juu ww usibabaike gusa kibox kimoja wapo na utaona zinafunguka vizuri kabisaa na kwa chini utaona options za livetv setting na nk all channels, sports, nk,..HAKIKISHA UNA RUHUSU TAARIFA ZAKO KUJISAVE KWENYE BROWSER YAKO ILI UKITOKA UTAKAPOINGIA ISIKUDAI KULOG IN TENA IWE UNAINGIA INAFUNGUKA AUTOMATICALLY,

Nmetumia app nyingi za kuonyesha michezo mbali mbali ikiwemo mpira, basketball nk kama mobdro, startimes, azamTv max, livenet yv, fefatv na zingine nyingi mpira kweny simu au computer ila Dstv ndo chaguo langu aisee haili kabisaa mb yaani unaweza kuchagua options ya chini low quality na ikaonesha vizuri kabisaa hd unatumia mb210 kwa saa nzima kwa iyo unaangalia mechi moya ya mpira ya dakika 90 kwa mb 300 wakat app zingine unatumia mb 600 au gb 1 kabisaa huu ndo utofauti niliouona

TAHADHALI,

KUMBUKA KAMA UNATUMIA CM WEKA TICK KWENYE DESKSTOP MODE AU ENABLE DESKSTOP MODE NDIO ITAFUNGUKA MAANA HAPA UKAKUWA UNATUKIA KWA NJIA YA COMPUTER IKIWA UNATUMIA CM NA UTAJISAHAU KUWEKA DESKSTOP MODE HAITAFUNGUKA ukifanikiwa niambie.

kama huna au hutumii dstv usjali mimi nina account nyingi za Dstv na nitakupa taarifa za account yangu ina onyesha zaidi ya channel 120 na utalog in ndani ya dakika 1 moja utakuwa unakura burudani mwanzo mwisho utanipoza na elf10 tu, hamna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja nikakuunga unakura burudani mwanzo milele kwa mawasiloano zaidi call, WhatsApp or sms 0756 695846. Au njoo pm

KAMA KUTAKUWA NA MAHALI UTAKWAMA UNAWEZA KUNIAMBIA NITAKUELEZA BUREE UCJALI.. KARIBU SANA
Mkuu kwenye window hio app ya dstv now mbon haipo au unatumiaje ww, mm had niliwauliza wahusika wakasem haipo ktk window

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1374757
20200301_093014.jpeg
Screenshot_20200229-125503_One UI Home.jpeg
PicsArt_02-29-12.57.19.jpeg
PicsArt_02-18-04.41.14.jpeg
PicsArt_02-18-04.36.34.jpeg
 
View attachment 1374757View attachment 1374758View attachment 1374759View attachment 1374760View attachment 1374762View attachment 1374764
Ni kweli!
 
Msaada please kwa upande wangu hali si shwari kabisa since I have each and everything
Screenshot_20200327-173758.jpeg
 
Huwea amini leo hii nime delete dstv now baada ya kukaa kwenye cm muda mrefu na ni baada ya kuona dstv wanachagua baadhi ya simu.
Nilichojiongeza hapa ni pale unapoibadilisha cm kuwa desktop ndio inakubali.
Ngoja niishushe tena nione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom