Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Unaweza niambia nifanyaje na mm ni generati zangu
zipo njia mbili
1]tafuta video zinazoonesha mipangilio namna ya kutengeneza map ila naona nyingi ni za kizamani hazifanyi kazi kwa sasa.

2]ongea na watu ii upate vitu

kwa upande wangu nilitumia njia ya kwanza japokuwa nililost muda +bando kidogo nilifaulu ila kuna kipindi nilifeli kuendelea pia nikakata tamaa so nikakutata na mbongo mwenzangu tukayajenga mambo yakaenda vyema sana ndo mwnzo wa kuendeleza kile nilichokianza.

ets2_20210728_102646_00.png
 
View attachment 1872953
Nipe shule mkuu
 
Wakuu nimekuja kugundua kuwa wazee wa driving game mnafaidi Sana Jana kwenye pitapita zangu za kuperuzi nimepata game Indonesia bus simulator asee nimejikuta nakesha bila kupenda game iko poa Sana yaan Kama naendesha bus live bila chenga asee nimefurah Sana,na Bado natafuta na hz zenu za malori mwenye kujua game Kali anipe app nipakue na huko
 
Daah hongela ulikuwa huijui siri hii?

Pia kwenye pc unaweza kuendesha hayo hayo mabus. Mfano ni hii yutong aliyo design ni mbongo mwenzetu.View attachment 1875751
IMG-20210731-WA0010.jpg
 
Mkuu apa bado kabisa maana naona apo nimpaka uwe na steam account alafu nimejaribu but nimeshindwa apo maana niki fuata linafunguka game
pole sana

sasa kama linahitaji steam si utengeneze acc kisha ununue game.

mara nyingi tunapiga kelele humu kuhamasisha watu kununua game pia ndo moja ya faida za kununua game.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom