kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,909
- Thread starter
- #3,581
Hii ram ndo mzozoHdd free 200,4gb rm
Jarbu hii solution
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hii ram ndo mzozoHdd free 200,4gb rm
jaribu hiyo njia ya k campKun mwan ali2ma hku nadhn n kcamp, version ni 1.38
Yani 4gb utamtesa sana...hyo error naona wansema inasababishwa na ram kua ndogokama yangu ni 6gb lakini nikiwa nacheza hapa naona inavuta mpaka 80%.je huyu mwenye 4gb itakuwaje?
daah russia ni nona hakufai. hapa nimekuta pori linawaka moto sasa sijui nipite wapi?Mambo ya Russia hayo..na hizi mvua...sasa goba kuniwekea kifusi barabarn sjui nitapita wapi
Aloooh huu mji gan tena..daah russia ni nona hakufai. hapa nimekuta pori linawaka moto sasa sijui nipite wapi?
Naona kulingana na maneno ya russia nahisi ni kati ya san petersburg au moscow.
Aisee hii barabara sjawah pita duhNaona kulingana na maneno ya russia nahisi ni kati ya san petersburg au moscow.
Mkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezoWakuu mnaenjoy sana mm napenda sana hz mambo naomben mnijuze ni game gan nidownload ni enjoy
Mkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ninayo Truck Similator Europe 2 versio.0.36 nimejaribu kudownload mod yake imekataaMkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile appNgoja nichekMkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Saw ngoja nichek maelezoMkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
na kwa maelezo zaidi asiache hata ukulasa mmjaMkuu nenda post ya kwanza kabisa ipo full maelezo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
hopo nilipozungushia duara
Nitafika siku moja...hapa saiz nmebeba kifusi.napeleka huko mitaa ya katihopo nilipozungushia duara
utafikisha mzigo linNitafika siku moja...hapa saiz nmebeba kifusi.napeleka huko mitaa ya kati
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Truck Simulator Europe 2
Hii siijui bossTruck Simulator Europe 2