Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

matatizo ni kama haya. yaani mashine inakuwa nzito mpaka uzime alafu ndo uwashe upya
 
Attachments

  • ets2_20201016_075609_00.png
    ets2_20201016_075609_00.png
    1.5 MB · Views: 3
Nimetest jana kam kawa kuna sehem nikifika inacrash....au sitakiw kuadd hata zile extras mod zake? Mana nikaongeza tandam mod ile na nyingne moja ina picha ya malory ya blue

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
daaah mbona huo ushakuwa msala. .... jana ilinutokea tena hiyo inshu ikabidi nizame you tubekwa goba harisi....nilichokigundua ni kuwa yaani desable all DLC. sasa kaz ni kwako maana mimi nishafanya hivyo na nikatest kidogo naona nime faulu ie sehemu iliyokuwa inasumbua
 
Ile 1.38 lock sindo imedisable dlc tayar? Mana goba bila kudisable dlc huchezi

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
iv unaanzaje kuchoka!!!
 
Attachments

  • ets2_20201023_102742_00.png
    ets2_20201023_102742_00.png
    1.5 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_113702_00.png
    ets2_20201023_113702_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_113857_00.png
    ets2_20201023_113857_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_114008_00.png
    ets2_20201023_114008_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20201023_115700_00.png
    ets2_20201023_115700_00.png
    1.4 MB · Views: 1
Huu mji gan..mana mie miji miwil yte nikianza drive ina crash barabaran...dah inebid jana nishushe southern region tu...na nna mpango nirud 1.36 nimchape goba vzur...mana kule hakukua nacrash kama za 1.38

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
mkuu hii mij ya russia nashindwa hata kuitamka. na nimefika huku baada ya ku lock hizo dlc. ilamkuu hii ramani ya goba kuna kitu kimenishangaza.
 
Back
Top Bottom