Fahamu Jinsi ya kuangalia Video za YouTube (Hata kama na kioo chako kimezima)

Fahamu Jinsi ya kuangalia Video za YouTube (Hata kama na kioo chako kimezima).

Unataka kusikiliza video za YouTube hata kama skrini yako imezimwa? Hapa kuna jinsi ya kufanya hivi kwenye Android na iPhone.

moja ya mapungufu kuu ya simu nyingi za android na Iphone huwezi kuendelea kusikiliza video yako pale tu kioo cha simu yako kikiwa kimezima(screen off). thankfully, kuna njia nzuri za kufanya ambazo utaweza kuifanya YouTube yako kuangalia video yako hata kama kioo cha simu yako kikimezima.

ila sio simu kuzima tuelewano hapo ni kioo cha simu yako kikizima okay.

much of YouTube content ;Yaliyomo kwenye YouTube (kama muziki wa kawaida, mihadhara, na inayofanana) inafaa kwa kuweza kutizama hata kama kioo cha simu yako kimezima kwani hutaweza kukosa mengi kutoka kwa video inayoambatana. Tutakuonyesha jinsi ya kuweka YouTube kusikiliza ataa kama kioo cha simu yako kimezima.

kama nilivyowaaambia ila inafanya kazi kwa simu zote
Android
Ios(iphone)

ANDROID(Google chrome & Mozilla)
tovuti za android kama Google chrome na Mozilla fire fox ni njia thabiti(solid) kuweza kuangalia video youtube na kusikiliza hata kama skrini ya kioo chako kimezima,

unachotakiwa kufanya ni chagua tovuti moja Kati ya hizo kisha nenda youtube.com #youtube kwenye tovuti uliyohitaka. kisha chagua video unayotaka kusikiliza hata wakati skrini ya kioo chako kikizima kisha juu kabisa upande wa kulia kuna vidoti vitatu kwenye tovuti yako we bonyeza hapo
kisha shuka chini utaona kumeandikwa desktop site kisha piga tiki hicho kibox chako desktop site . baada ya hapo play Video yako youtube kisha endelea na shughuli zako huku ukibonyeza skrini ya kioo chako kwa kuizima .

kama uhitaji ijibadilishe kila inapoisha unaweza ku log kwenye youtube yako kisha weka playlist baada ya hapo play na endelea na shughuli zako.

Itaendelea..
Safi sana dogo, imetulia hii
Bg-Up sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom