Fahamu Historia ya Kutukuka Kwa Msalaba

BROWN EDDY

BROWN EDDY

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
206
Likes
87
Points
45
BROWN EDDY

BROWN EDDY

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
206 87 45
FAHAMU HISTORIA YA KUTUKUKA KWA MSALABA MTAKATIFU.

Uligunduliwa na Mtakatifu Helena aliyekuwa malkia (Mama yake mfalme Constantine)
Yapata mwaka 312. Baada ya msalaba mtakatifu kumtokea nuruni, (maono).

Hii pia ni baada pia ya Mfalme Constantine kupata maono juu ya kutumia alama ya msalaba katika ngao za wapiganaji wa jeshi lake na kupata ushindi mkubwa.

Mt Helena aliagiza kutafutwa kwa msalaba mtakatifu wa Yesu Kristo popote ulipo, na aliahidi kutoa zawadi kwa atakae upata.

Wachunguzi walifika Yerusalem ambapo mlima Golgotha ulipatikana kadri ya historia ya kifo cha Yesu Kristo.

Walichunguza mahali alipoteswa Yesu Kristo pamoja na wenzake wawili, walichimba chini kidogo kwa ajili ya kutafuta.

Mwisho walipata misalaba mitatu ulivyokuwa pamoja kwa kuchangamana.

Ili kujua upi ni msalaba wa Yesu Kristo na upi sio. Waliitenganisha na kuchukua mgonjwa ili kumgusisha katika kila msalaba msalaba. (Walijiapiza msalaba atakaopona mgonjwa ndio msalaba wa Yesu).

Walianza kumgusisha katika msalaba wa kwanza hakukukuwa na mabadiliko,
Msalaba wa pili vile vile hakukukuwa na mabadiliko, Lakini walipomgusisha katika msalaba wa tatu alipona pale pale.

Walichukua tena mgonjwa mwingine na kuanza kumgusisha katika ule ambao mgonjwa wa kwanza alipona, mgonjwa huyu pia alipona pale pale.

Walichukua tena mgonjwa mwingine na kuanza kumgusisha katika ule ambao katika mzunguko wa mara ya kwanza ulikuwa wa pili lakini hakupona.

Wakamgusisha tena katika ule uliokuwa wa kwanza kugusishwa hakupona, lakini walipo mgusisha katika ule ambao wengine walipona naye akapona.

Hapo ndipo ibada ya sherehe ya kutukuka kwa msalaba mtakatifu ilianzishwa.

Msalaba huo ulichukuliwa na kukatwa baadhi ya vipande ambavyo kwanza viliwekwa katika makanisa mawili yaliyofunguliwa huko Yerusalem na Mfalme Constantine.

Na vipande vingine vilisabazwa baadhi ya makanisa mbalimbali ulimwenguni,
Na kipande kikubwa kubaki katika museum iliyoko Yerusalem.

Kanisa Katoliki husherekea sikukuu ya kutukuka kwa msalaba 14 September kila mwaka.

Wagalatia 6:14
"Lakini mimi, hasha, nisione fahari juu ya kitu chochote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo."
 
mapipando

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
2,781
Likes
2,935
Points
280
mapipando

mapipando

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
2,781 2,935 280
Msalaba mtakatifu ukombozi wa mwanadamu.
Shukrani kwa makala nzuri mkuu
 
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
1,153
Likes
1,228
Points
280
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
1,153 1,228 280
Mtakatifu helena mke wa mtakatifu Constantine
c19d149675db23a1791fd82aabbc4bb0-jpg.867829
unnamed-jpg.867830
images-jpg.867831
 
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
5,478
Likes
3,342
Points
280
Age
33
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
5,478 3,342 280
Dini zimetufanya wapumbavu wa fikra
 
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
403
Likes
70
Points
45
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2018
403 70 45
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
FAHAMU HISTORIA YA KUTUKUKA KWA MSALABA MTAKATIFU.

Uligunduliwa na Mtakatifu Helena aliyekuwa malkia (Mama yake mfalme Constantine)
Yapata mwaka 312. Baada ya msalaba mtakatifu kumtokea nuruni, (maono).

Hii pia ni baada pia ya Mfalme Constantine kupata maono juu ya kutumia alama ya msalaba katika ngao za wapiganaji wa jeshi lake na kupata ushindi mkubwa.

Mt Helena aliagiza kutafutwa kwa msalaba mtakatifu wa Yesu Kristo popote ulipo, na aliahidi kutoa zawadi kwa atakae upata.

Wachunguzi walifika Yerusalem ambapo mlima Golgotha ulipatikana kadri ya historia ya kifo cha Yesu Kristo.

Walichunguza mahali alipoteswa Yesu Kristo pamoja na wenzake wawili, walichimba chini kidogo kwa ajili ya kutafuta.

Mwisho walipata misalaba mitatu ulivyokuwa pamoja kwa kuchangamana.

Ili kujua upi ni msalaba wa Yesu Kristo na upi sio. Waliitenganisha na kuchukua mgonjwa ili kumgusisha katika kila msalaba msalaba. (Walijiapiza msalaba atakaopona mgonjwa ndio msalaba wa Yesu).

Walianza kumgusisha katika msalaba wa kwanza hakukukuwa na mabadiliko,
Msalaba wa pili vile vile hakukukuwa na mabadiliko, Lakini walipomgusisha katika msalaba wa tatu alipona pale pale.

Walichukua tena mgonjwa mwingine na kuanza kumgusisha katika ule ambao mgonjwa wa kwanza alipona, mgonjwa huyu pia alipona pale pale.

Walichukua tena mgonjwa mwingine na kuanza kumgusisha katika ule ambao katika mzunguko wa mara ya kwanza ulikuwa wa pili lakini hakupona.

Wakamgusisha tena katika ule uliokuwa wa kwanza kugusishwa hakupona, lakini walipo mgusisha katika ule ambao wengine walipona naye akapona.

Hapo ndipo ibada ya sherehe ya kutukuka kwa msalaba mtakatifu ilianzishwa.

Msalaba huo ulichukuliwa na kukatwa baadhi ya vipande ambavyo kwanza viliwekwa katika makanisa mawili yaliyofunguliwa huko Yerusalem na Mfalme Constantine.

Na vipande vingine vilisabazwa baadhi ya makanisa mbalimbali ulimwenguni,
Na kipande kikubwa kubaki katika museum iliyoko Yerusalem.

Kanisa Katoliki husherekea sikukuu ya kutukuka kwa msalaba 14 September kila mwaka.

Wagalatia 6:14
"Lakini mimi, hasha, nisione fahari juu ya kitu chochote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo."
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,916
Posts 29,788,598