Fahamu haya kuhusu kifo

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,698
Kufa ni kitendo cha mwili wa nyama kushindwa kuungana na mwili wa kiroho.

Ili mwili wa nyama ushindwe kuungana na mwili wa kiroho lazima kuwe na hitilafi mbili.

Mwili uwe haupati hewa au damu iishe hewa utumika kutengeneza mfumo wa umeme kifuani ambapo mfumo huo utumika kusukuma moyo na moyo kuzungusha damu. Hivyo hewa isipofika maanake mfumo wa umeme hautotenda na Kama hautotenda maanake moyo utashindwa kusukuma damu na mwili utashindwa kutenda.

Hivyo roho itashindwa kuishi umo maana roho uunganushwa na nguvu ya damu. Hivyo roho automatic tu itatoka na kukaa pembeni kwa masaa 24 ikipita hapo iyo roho HaitowezA kurudi tena.

Pia mwili ukiisha damu roho haitoweza kurudi tena.

Pia kwenye mfumo wa ubongo ukiharibika.

Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho.

Pili mtu mwenye kuongozwa na nafsi ndiyo anakufa Ila mwenye kuongozwa na roho hafi Ila ataishi miaka elf moja na kunyakuliwa.

Nafsi ikitoka uenda kuishi sehemu ambapo unaagano napo mpaka siku ya mwisho.
 
Kuna mtu roho yake ilitoka mwilini tena kwa spidi ya ajabu ikawa inakimbilia kusikojulikana jamaa ikabidi akodi bodaboda aifukuzie,aliifukuzia mpaka akaikamata akairudisha mwilini na akaionya iache kutokatoka tena bila ruhusa
 
Hii ni sawa na kisema

“Mungu ndie aliyeumba Binadamu”

Sasa wewe unakuja process nzima ya binadamu anavyoanza kutokea Sperm mpaka anakuwa mtu then una make conclusion kuwa 'Hakuna Mungu aliyeumba binadamu'

Ulichoeleza ni process tu kisayansi aliyoiweka huyohuyo Mungu...umeeleza process lakini ulivyfika kwenye Roho kutoka umesema 'Roho inatoka na kukaa pembeni'...

Minzari umeBase na sayansi tu bila kutaka nani aliyeiweka iyo sayansi jibu maswali haya

Swali
1)Roho inakaa pembeni iyo roho ina utashi na kwahiyo roho inauhai (roho ina roho) ??

2)Roho ni nini kisayansi tuelezee??
 
Twebde hapo kwenye nafsi na roho

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
ROHO

Roho ni nyumba ambayo ndani yake utunza hewa. Roho inakuwa hai endapo ndani ya hewa iyo kutakuwa na Nafsi.

Mwili wa kiroho ni mwili uliyoumbwa kwa hewa ndani yake na ili mwili uwe hai lazima ndani ya hewa kuwe na Nafsi.

Roho utenda kazi yake kwa kutumia nguvu ya Nafsi.

NAFSI
Nafsi ni aina ya kiumbe kisichokuwa na muonekano maalumu.nafsi uishi kwa kula hewa tu.
Nafsi utenda miujiza na kila kitu kwa kutumia nguvu ya hewa,mwanga na kiza.

Utendaji wa Nafsi miujiza au kazi yeyote ufanya kwa sauti na ishara.

Roho ufuwa na kutunza upepo ndani yake kisha nafsi ula upepo na mwingine uutumia katika majukumu yake ya utendaji.
Pia Nafsi haina mwili maalumu hivyo uishi kwenye Roho ya kiumbe yeyote Yani nafsi yako inaweza kuishi kwangu na yangu kuishi kwako kimaamlisho au yako kuishi kwa jini/mzimu au yake kuishi kwako.

Nafsi kuishi kwa kiumbe mwingine kwanza muwe na uhusiano na pili itategemea na nguvu ya nafsi.

Kwa mfano kwenye uhusiano kwanza utaanza ukaribu hapo utasababisha Kuwe na urahisi wa kuingiliana nafsi. Kisha yule mwenye nafsi yenye nguvu ndiyo itaingia kwa mwenzake na kumtawala na hapo ndo inakuja asikii au aambiwi na huu ndo mfumo wa limbwata, kuuwa nguvu ya nafsi na kuifanya yako itawale.

Hivyo ndivyo ata nafsi za majini/mizimu zinavyotawala uanza uhusiano wa kitamaduni na agano kisha watakuja kukutawala na kukuongoza.

Pia nafsi inauwezo wa kujua la kesho yako na nyuma yako. Kikawaida nafsi zinapandikizwa pia kimaagano.

Isipokuwa nafsi za kupandikizwa lazima uwe unazipa zawadi.
Waganga ndo wanaangukia hapa wanacheza na ñafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hewa haitumiki kutengeneza umeme mwilini bali hewa husaidia uvunjwaji wa chakula (respiration).
Mtu akifa cha kwanza kufa ni ubongo(brain).
Moyo(heart) unaweza kuwa hai hata Massa 72 baada ya ubongo kufa.
Kutokana na hivyo ndio maana Heart transplant unachukuliwa moyo wa mgonjwa aliyekufa kwa masaa 24 maana moyo bado unakuwa active.

Kufa ni kitendo cha mwili wa nyama kushindwa kuungana na mwili wa kiroho.

Ili mwili wa nyama ushindwe kuungana na mwili wa kiroho lazima kuwe na hitilafi mbili.

Mwili uwe haupati hewa au damu iishe hewa utumika kutengeneza mfumo wa umeme kifuani ambapo mfumo huo utumika kusukuma moyo na moyo kuzungusha damu. Hivyo hewa isipofika maanake mfumo wa umeme hautotenda na Kama hautotenda maanake moyo utashindwa kusukuma damu na mwili utashindwa kutenda.

Hivyo roho itashindwa kuishi umo maana roho uunganushwa na nguvu ya damu. Hivyo roho automatic tu itatoka na kukaa pembeni kwa masaa 24 ikipita hapo iyo roho HaitowezA kurudi tena.

Pia mwili ukiisha damu roho haitoweza kurudi tena.

Pia kwenye mfumo wa ubongo ukiharibika.

Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho.

Pili mtu mwenye kuongozwa na nafsi ndiyo anakufa Ila mwenye kuongozwa na roho hafi Ila ataishi miaka elf moja na kunyakuliwa.

Nafsi ikitoka uenda kuishi sehemu ambapo unaagano napo mpaka siku ya mwisho.
 
Kufa ni kitendo cha mwili wa nyama kushindwa kuungana na mwili wa kiroho.

Ili mwili wa nyama ushindwe kuungana na mwili wa kiroho lazima kuwe na hitilafi mbili.

Mwili uwe haupati hewa au damu iishe hewa utumika kutengeneza mfumo wa umeme kifuani ambapo mfumo huo utumika kusukuma moyo na moyo kuzungusha damu. Hivyo hewa isipofika maanake mfumo wa umeme hautotenda na Kama hautotenda maanake moyo utashindwa kusukuma damu na mwili utashindwa kutenda.

Hivyo roho itashindwa kuishi umo maana roho uunganushwa na nguvu ya damu. Hivyo roho automatic tu itatoka na kukaa pembeni kwa masaa 24 ikipita hapo iyo roho HaitowezA kurudi tena.

Pia mwili ukiisha damu roho haitoweza kurudi tena.

Pia kwenye mfumo wa ubongo ukiharibika.

Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho.

Pili mtu mwenye kuongozwa na nafsi ndiyo anakufa Ila mwenye kuongozwa na roho hafi Ila ataishi miaka elf moja na kunyakuliwa.

Nafsi ikitoka uenda kuishi sehemu ambapo unaagano napo mpaka siku ya mwisho.

Hapo kiumbe akifa roho inaenda mpaka sehemu yenye agano nalo. Hii inamaana kila binadamu anamaagano Na sehemu furan? Na mfano wa hilo eneo ni kama lipi? Na mfano wa maagano ni yapi?
 
Nasema hivi, mtoa uzi tuanzie kwenye tofauti ya roho, mwili na nafsi alafu twende kwenye mada mkuu, , ,
Watu wengi wanao leta mada za kiroho hasa kifo, huwa hawana ujuzi na jambo ili, ila kwa namna wanavyoleta wanahisi wanajua.

Sasa huyu mtoa mada analeta kitu na kutuambia ya kuwa mwili wa roho. Kuna mwingine hivi karibuni alileta mada kuhusu ulimwengu wa roho, lakimi alivyo puyana nikamuuliza swali, nafsi ni nini ? Swali hili hakunijibu sasa sijui kama aliliona au alilipuuza au uzi ulifutwa...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom