Fahamu athari ya spirit of a man/woman (1 & 2)

Somo zuri tupe muendelezo..maarifa adimu hayo
Ameen.. Natafuta baadhi ya shuhuda za watu waliokua na matatizo kama hayo na Mungu akawaweka huru ili watu wenye changamoto hizo wapate mwanga na njia ya kuepukana na tatizo hilo
 
Hizi ni roho ambazo shetani amekua akipandikiza kwa watu wengi wa kizazi cha leo kwa nia ya uharibifu

Spirit of man mwanaume kuvutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie vivyo hivyo kwa upande wa wanawake.

Hizi roho zimemwagwa kwa vijana wengi sana kupitia ponography, laana kwenye familia, marafiki na historical background za watu.

Mungu amemuumba mwanaume kwaajili ya mwanamke na mwanamke kwaajili ya mwanaume. Kuwa na hisia tofauti na alizo zifanya Mungu ni roho ambayo imepandikizwa ndani yako kwa njia tofauti tofauti za kiroho bila kwakujua au bila kujua

Nimepata uzoefu sana wa kuona watu wenye changamoto hizi kwa kufwatilia huduma za Nabii T.b Joshua kwa muda mrefu na kuona akifanya delivarence kwa watu wa namna hii. Delivarence kwa watu hawa ilipelekea T.b Joshua kufungiwa channel yake ya YouTube hivi karibuni

Hii roho shetani akifanikiwa kuipandikiza kwako anapata nafasi ya kushambulia mambo mengi sana kwenye maisha yako kama uchumi, afya, uwezo wa kufikiri, na mahusiano mabaya kati yako na watu wengine. Wengi sana wenye hizi spirit wasipo washughulikia kwa wakati, huishia kujiua au mara nyingi sana conclusion yao nikutaka kujiua. Huwezi kufanikiwa kama hii spirit iko ndani yako

Biblia inasema "Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho." You don't need to fight them physically

Kama wewe sio mtu wa kumwomba Mungu unakua kwenye hatari ya kushambuliwa na hizi roho. Tengeneza njia zako na Mungu

Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii kuna watu wengi sana wanatumika kama satanic agents ku-stimulate hizo spirit kwa vijana. Wengine wanajua na wanapewa assignment ila wengine hutumika bila kujua. Sometimes unaweza kuona ni jambo la kawaida ila haiko hivyo ndugu yangu

Mafanikio yako katika maisha yanaanzia rohoni, shetani ni roho so ili akumalize anashambulia roho yako kwanza. Akifanikiwa rohoni uwe na uhakika hutaweza kufanya kitu kifanikiwe. Note my words.

Usikubali kabisa kuwa part of this distractive things. Kama una tatizo hilo tafuta solution spiritual and you will be free in Jesus Christ name

Be blessed!!
Problem inaanzia kwenye family spirit nani mtawala wa familia, ukoo tulizotoka kama si Yesu Kristo la ujue adui shetani. Maandiko yanasema viungo vyetu ni mwili wa Kristo na miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu, je nani mtawala kwenye maisha yetu?
 
Kuna watu wengi wamelelewa kimaadili na katika kumjua Mungu na familia zao ila wamekutana na watu wabaya wakawaharibu. Katika mjadala huu watu wanaweza ku-share experience za maisha yao, waliko pita na wamekutana na watu wa namna gana ambao kupitia wao walijifunza kitu
 
Ukilelewa kimaadili na kumcha Mungu, Mungu Roho Mtakatifu atakuongoza na kukusaidia kama alivyomsaidia Yussuf
 
Ukilelewa kimaadili na kumcha Mungu, Mungu Roho Mtakatifu atakuongoza na kukusaidia kama alivyomsaidia Yussuf
Ni sahihi mkuu ila Mungu halazimishi kutawala fikra zako. Yusufu alifundishwa kujua mema na mabaya. Shetani hakuacha kumjaribu kupitia mke wa Potifa na Yusufu aling'amua mtego. Ni wangapi wanang'amua mitego ya vishawishi vya adui? Mungu lazima aruhusu kupimwa moyo wako kimaamuzi ili ajue thamani ya upendo wako kwake
 
Ni kweli ndiyo maana akasema sikiliza ee Israeli leo hii nimekuwekea mbele yako mema na mabaya, uzima na mauti, Munge wetu anapenda sana demokrasia halazimishi mtu, ila vijana wetu pamoja na elimu ya kidunia tunayowapa elimu ya Mungu kwao ni muhimu sana ili kutengeneza taifa bora
 
Amen. Barikiwa sana
 
Maskini bara la Asia ndo maana mashoga wengi mno eti transg kumbe kuna shida
 
Mungu anachukia dhambi, hachukii wadhambi "usihukumu usije ukahukumiwa" inamaanisha tuchukie dhambi, tusichukie watenda dhambi sababu kesho wanaweza kubadilika. Ukimuua mtenda dhambi kwa kumhukumu haitakuepo tena nafasi yake kubadilika.

Mtenda dhambi anaweza kuokolewa au kupata uponyaji. Tuchukie matendo na sio watu wanaotenda maovu kwa sababu vita vyetu si juu ya damu na nyama bali juu ya roho inayoleta uharibifu.

USHUHUDA; Benjamin alifwatwa na mtumishi wa Mungu kanisani na kumwambia "Unaroho ya ushoga ndani yako" aliguswa na mtumishi wa Mungu na alidondoka chini na baada ya muda mfupi Mungu alimweka huru

Baada ya wiki moja alifika kanisani kushuhudia ukuu wa Mungu kwa jinsi alivyo sikia mabadiliko kwenye fikra na mwili wake.

Benjamin alikua akifanya kazi na wenzake maeneo ya kijijini kipindi akiwa na miaka 16 na siku moja usiku mfanyakazi mwenzake alitumia nguvu kama kutaka kumlawiti. Wakati akipambana kijinusuru aliwekewa kitu usoni ambacho kilimfanya kupoteza fahamu. Alsubuhi ndipo aligundua kilicho tokea baada ya kujikuta hana suruali na imetupwa chini. "Tangu hapo roho chafu iliingia ndani yangu, nilipoteza affection kwa manawake na nilianza kuvutiwa na wanaume wenzangu." Alijitahidi kwa akili na uwezo wake kupingana na hali hiyo lakini ilishindika, anasema hii hali ilikua nje ya uwezo wake

USHAURI WA BENJAMIN "Yeyote anae pitia tatizo kama langu asijisumbue wenyewe, ukiwa na tatizo la kiroho unahitaji suluhisho la kiroho ili kuwa huru kabisa."

USHUHUDA WA PILI

Chika anashuhudia, alibakwa akiwa na miaka 12. Kitendo hicho kilimfanya awachukie sana wanaume.

Baadae alianza kuota ndoto akifanya mapenzi na wanawake wenzake na baada ya kujiunga sekondari alikuwa akitongoza wanafunzi wenzake na kushiri nao mapenzi.

Aliamua kutafuta wachungaji na watumishi baada ya kujitathmini na kugundua kwamba hayo sio aina ya maisha anayo tamani kuishi. wengi walimuombea lakini halikua jambo rahisi. Hakupata uponyaji..wakati mwingine baada ya maombi hayo hali yake ilibadilika na kuwa mbaya zaidi kuliko mwanzo

Baadae ilikutana na mtumishi mmoja ambaye baada ya kumuona tu alimpa unabii wa shida yake na alipo mwombea alipata uponyaji wapapo kwa hapo. Hisia za kuvutiwa kimapenzi kwa wanawake wenzake zilikoma palepale.

USHAURI WAKE: Vijana wenzangu wazingatie haya "Kama utajikuta kwenye hali kama yangu usiogope, Yesu Kristo pekee ndiye anaweza kukuponya na kukutoa katika hali hiyo". Alishauri pia wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuwafundisha jinsi ya kuepukana na mambo kama hayo tangu wakiwa wadogo.

USHUHUDA WA TATU:

Baada ya mapepo kulipuka kijana miaka 19 anasimulia " Nilikutana na rafiki wa rafiki yangu wa karibu, hakuwa mwanafunzi kama mimi. Kipindi cha likizo alilazimisha sana twende kwake tukamtembelee na kutoka out" tulizoeana sana na alikua akitupa fedha, siku moja kipindi cha likizo nikiwa nyumbani kwake alinisogelea karibu na bila kutarajia kwa ghafla alinibusu shavuni. Huo ndio ulikua mwanzo wa tatizo langu

Nilianza kuwa na affection ya kuwaingilia wanaume wenzangu na hiyo roho ilinipa nguvu ya kugundua mtu anaye jihushisha na ushoga kwa kumtazama tu na sikusita kumfwata moja kwa moja.

Yule rafiki aliniingiza kwenye genge moja la kishirikina, nilipewa assignment ya kueneza hiyo spirit, na kabla ya ku-release aina flani ya miziki au pornography hunenewa maneno ya kipepo na mtu akitazama au kuskiliza ghafla anaanza kupata hisia tofauti na bila kujua tabia ziaanza kubadilika taratibu."

Nilianza kuwa mkorofi shuleni, natoroka na kwenda nightclubs, ufaulu wangu ulishuka na niliamua kuacha shule...

Mama yangu hapa ni shahidi kwamba nikisikia nyumbani wanataka kusali nakimbilia chumbani kwangu na kujifungia. Nilichukia sana kusali. Tabia zangu zilibadilika hadi wazazi kulaani matendo yangu lakini sikujali.

Baada ya uponyaji na kufunguliwa, sasa niko huru na hisia zangu kwa wanawake zimerudi. Hisia kwa wanaume wenzangu hazipo tena.
Namshukuru sana Bwana Yesu kwa kuniweka huru. Amen

Ndugu uliesoma ujumbe huu, niliguswa kutoa ajumbe huu sababu tatizo limekua kubwa na kufwatia mkumbo unaweza kuingia huko bila kujua. Sasa kwa kiasi flani unaweza kujiepusha, kuepusha wengine na hata kuwasaidia wale ambao wako kwenye tatizo kuutafuta mkono wa Mungu ili wawe huru.

Biblia inasema na ndivyo ilivyo kwamba "hakuna lisilo wezekana kwa Mungu" hata mtu awe ameathiriwa vipi!, Kukata tamaa ni dhambi kubwa zaidi. Iambie nafsi yako, mimi nitabadilika na kurudiwa na hisia alizonipa Mungu tangu mwanzo.

Wewe mwenyewe kila ukiskia hali hiyo ikatae ndani yako, ipinge kwa vitendo na tafuta watu unao waamini wakusaidie kiroho. Jishughulishe na mambo yako na kwenye nafsi yako teta na Mungu kimya kimya, mwambie Mungu sipendi hii dhambi, najua wewe unaweza yote, nikutanishe na mtumishi wako uliye mkusudia wewe mwenyewe afanyike njia ya kunikomboa kwenye usagaji, ushoga n.k

Ukiguswa pia kunishirikisha tatizo lako au la ndugu yako, rafiki usisite kunitafuta. Usiogope, nitumie ujumbe nami nitakuelekeza chakufanya na tatizo lako litaisha. Tatizo hilo ni roho tu imewekwa ndani yako, wewe sio tatizo wala wewe pekeyako huwezi kujikomboa.

Yesu tu anaweza kukuweka huru leo. Wengi pia wameamua kubaki na matatizo yao sababu hata wale wanao waamini hawana vifua vya kuwatunzia siri!!! Nafahamu hilo na ni kweli. Hutakiwi kumshirikisha kila mtu tatizo lako. Watu wengine wanaweza kukuathiri zaidi badala ya kusaidi

Mungu awabariki sana
 
Hizi ni roho ambazo shetani amekua akipandikiza kwa watu wengi wa kizazi cha leo kwa nia ya uharibifu

Spirit of man mwanaume kuvutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie vivyo hivyo kwa upande wa wanawake.

Hizi roho zimemwagwa kwa vijana wengi sana kupitia ponography, laana kwenye familia, marafiki na historical background za watu.

Mungu amemuumba mwanaume kwaajili ya mwanamke na mwanamke kwaajili ya mwanaume. Kuwa na hisia tofauti na alizo zifanya Mungu ni roho ambayo imepandikizwa ndani yako kwa njia tofauti tofauti za kiroho bila kwakujua au bila kujua

Nimepata uzoefu sana wa kuona watu wenye changamoto hizi kwa kufwatilia huduma za Nabii T.b Joshua kwa muda mrefu na kuona akifanya delivarence kwa watu wa namna hii. Delivarence kwa watu hawa ilipelekea T.b Joshua kufungiwa channel yake ya YouTube hivi karibuni

Hii roho shetani akifanikiwa kuipandikiza kwako anapata nafasi ya kushambulia mambo mengi sana kwenye maisha yako kama uchumi, afya, uwezo wa kufikiri, na mahusiano mabaya kati yako na watu wengine. Wengi sana wenye hizi spirit wasipo washughulikia kwa wakati, huishia kujiua au mara nyingi sana conclusion yao nikutaka kujiua. Huwezi kufanikiwa kama hii spirit iko ndani yako

Biblia inasema "Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho." You don't need to fight them physically

Kama wewe sio mtu wa kumwomba Mungu unakua kwenye hatari ya kushambuliwa na hizi roho. Tengeneza njia zako na Mungu

Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii kuna watu wengi sana wanatumika kama satanic agents ku-stimulate hizo spirit kwa vijana. Wengine wanajua na wanapewa assignment ila wengine hutumika bila kujua. Sometimes unaweza kuona ni jambo la kawaida ila haiko hivyo ndugu yangu

Mafanikio yako katika maisha yanaanzia rohoni, shetani ni roho so ili akumalize anashambulia roho yako kwanza. Akifanikiwa rohoni uwe na uhakika hutaweza kufanya kitu kifanikiwe. Note my words.

Usikubali kabisa kuwa part of this distractive things. Kama una tatizo hilo tafuta solution spiritual and you will be free in Jesus Christ name

Be blessed!!
uko sawa mkuu nimeielewa hii
 
Back
Top Bottom