Fahamu aina za bearing, oil seal na fan belts

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,035
Points
2,000

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,035 2,000
oil seals. 0686-168624
Mkuu kama una oil seal,belts na air cleaner za engine za kwenye meli inabidi uwacheki pale wale jamaa wa majahazi ukienda ongea na mainjinia au unawaachia business card.

Pia kama kwenye kampuni za meli mtafute mtu anaitwa Desginted Person Ashore (DPA) kwa kampuni za kisasa huyu ndio mnunuzi wa kila spea kwenye meli na anakuwa nchi kavu muda wote.

Au utafute namba za Agent wa meli,Supplier na Ship Chandlier hawa ndio wanapewa oda za manunuzi ya spea meli ikihitajika. Wewe utawapa spea kisha watakulipa baada ya wao kulipwa.
 
Jopelo John

Senior Member
Joined
Aug 17, 2018
Messages
183
Points
225

Jopelo John

Senior Member
Joined Aug 17, 2018
183 225
Mkuu kama una oil seal,belts na air cleaner za engine za kwenye meli inabidi uwacheki pale wale jamaa wa majahazi ukienda ongea na mainjinia au unawaachia business card.

Pia kama kwenye kampuni za meli mtafute mtu anaitwa Desginted Person Ashore (DPA) kwa kampuni za kisasa huyu ndio mnunuzi wa kila spea kwenye meli na anakuwa nchi kavu muda wote.

Au utafute namba za Agent wa meli,Supplier na Ship Chandlier hawa ndio wanapewa oda za manunuzi ya spea meli ikihitajika. Wewe utawapa spea kisha watakulipa baada ya wao kulipwa.
poa mkuu nimekuelewa
 
komamgo

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Messages
1,438
Points
2,000

komamgo

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2012
1,438 2,000
S
Nawatangazia fursa ya biashara kwa wamiliki wa viwanda, wamiliki wa malori na magari na wafanyabiashara wote na taasisi na kampuni mbali mbali nchini Tanzania.
Tunauza bearings, Oil seals na fan belts.

Simu- 0686-168624 , 0737-017866. tupo dar es salaam, tunakuletea mzigo popote pale ulipo.
wadau wa mikoani tunasafirisha mzigo.

Maelezo kwa ufupi:

Bearings;
Aina za Bearings;
1) Deep groove ball bearing, 2) Spherical roller bearing, 3) Needle roller bearings, 4) Thrust ball bearing
5) Tapper roller bearings 6) Plumber block bearings 7) Cylindrical roller bearings
8) Miniature bearings 9) wheel bearings 10) bush bearings 11) ac compressor bearings.

Oil seals
Aina za Oil seals
1) Shaft seals 2) V seals 3) Rubber fabric seals
kwa mimi nimeamua kutaja aina hizi 3 kwasababu ndio zina soko kubwa hapa tanzania, aina zingine wadau wanaweza kunisaidia.

Belts (Mikanda)
Aina za belts
zipo A,B,C,D,E, SPA,SPB,SPC,XPA,XPB,XPC. kwa A,B na C ni plain type, kwenye A ina urefu wa mita 12.5 mm. B. ni 17 mm na C ni 22 mm. D na E ni heavy duty type. D ina urefu wa 32mm na E ni 50 mm. SPA Mpaka SPZ ina maanisha upana wa mkanda unaongezeka. X maana yake mkanda una meno.

Kitu muhimu kwa mteja anayenunua vitu hivi mara kwa mara anatakiwa ajue part number ya sample yake. akitoa part number inakuwa rahisi kwetu kucheki bei kwenye system yetu na kumpatia bei. kama part number imefutika alete sample ili sisi tupime tujue vipimo vyake ili tumpatie bei.

ni ngumu sana kuweka price list ya spea hapa kwenye uzi huu kwasababu tuna spea za size 1000 tofauti tofauti. sasa sidhani kama wadau watakuwa na muda wa kusoma bei za spea 1000.
Njia rahisi, kama una part number ya sample nipigie simu ntakupa bei.

Kwa wadau wa mikoani tunasafirisha. Simu- 0686-168624 , 0737-017866.
Safi sana
 
Forum statistics

Threads 1,366,846
Members 521,570
Posts 33,379,300
Top