Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,900
6,657
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!

4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!

5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!

6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!

7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!

8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!

9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!

10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!

11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!

13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.

14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.

HIZI NI HASIRA WALIZONAZO WANAWAKE

N.B

Tuishi nao kwa akili
 
Demu wamgu mmoja wa zamani mchaga alikuwa akikasirika tu na ny*ge zinampanda mda huohuo.

Njia pekee ya kumuondolea hasira zake ilikuwa ni kumpelekea moto. nilikuwa sifanyi ajizi.
 
kuna mwingine akikasirika anataka umgegede tu mpka utoke povu au damu badala ya sperms

Na wengine wanakimbilia kulipua mtungi wa gesi


Wengine ukiwauzi wanaanza kuwakumbuka ex zake wa zamani wote...tena anakutajia kabisa utasikia "mwanamme gani wewe huna mbele wala nyuma...bora ningebaki kwa Mshana Jr tu au ningeolewa na yule msukuma matoroli Bujibuji
 

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom