Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
Mwingine akikasirika yeye ana kupa jitumbua tuuuu!! kwa mitindo yake yoote anayo jua!! ili kukupoza injini ya hasira zako na kweli utapoaaaa baaada ya kupiga mashine kiswasawa si unataka kula baada ya kazi?

huwezi kuomba chakula ukiwa na hasira lazima uwe mpole tu!!! hii njia ni nzuri sana km umebarikiwa kuwa nayo mtadumu na mumeo mpka mchakae!! utambato weee!! mpaka ulie pooo!!

hata ukimaliza unamalizia humo!! humo!! hakupi nafasi ya kupumzika!! matokeo ni kuwa na watoto wengi!! anakukomoa kwa hali km hii! na hela utaacha nyingi!! ila nawashauri tu muachege hasira wamama!
 
Niliyekula nae kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe yupo namba 14 . Hawa watu ni hatari sana
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
 
H
.

Kikawaida kila binadamu aliekamilika kaumbiwa hasira,hasira ambazo zipo Kwa maana na kazi maalumu kuliko vile ambavyo wengi hudhania kua hasira zipo Kwa ajili ya kuleta matatizo laa hasha..!!
Hasira ndizo zinatufanya tupambanie haki zetu has a pale tunapodhulumiwa,hasira ndizo zinatuondelea unyonge na kuonekana watu Wa kukubali kushindwa..ila jambo LA muhimu LA kisisitiziwa ni kutozidisha kiwango.
Zifuatazo ni Baadhi ya hasira za wanawake....
Hapo 2&3 ndipo wanawake wengi wa kibongo wanapoangukia 😂😂😂
 
Mimi nikiwa na hasira nashindwa kuongea, machozi tu yanatiririka na nakua najiuliza mambo mengi hivi why umeamua kunifanyia hivo, umenionaje? Umenidharau ama nk. Ila dk 0 hasira zinaisha kabisa na naanza kukusemesha tena😜 sasa ukinibembeleza ndiyo kabisaa hasira haikai.
😅😅😅😅😅😅 Utakuwa mnyakuyusa namba moja anaekula raha duniani😅
 
Hao wa namba 14 n watu wa visasi balaa...
Imagine mtu akikasirika anacheka af anakuongelesha kwa sentensi nusunusu....

Utaskia Yaani ww mwanaume......(anaishia hapo af anatabasamu, machoz kwa mbali af anaishia kusema daaaah, aya bana)...

Ukiona hv lala mbele, hamna usalama apo
Hahahahah wengi lazma akukomeshe 😅 na usiombe awe anatoka kijasho cha pua kile andika maumivu 😀 kama hujapigwa knife usiku bora ulale kwenye gari nje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom