Fahamu 10 bora ya mashirika ya kijasusi na yenye nguvu africa

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
nilikuwa nachek yotube kwa mujibu wa shirika la nacheki wametoa best powerful intelligencey in africa yaani mashirika bora ya kijasusi na yenye nguvu africa kuhusu vigezo vilivyotumika ni technologia,uchumi, siasa,uongozi bora katika kukuza ndani ya nchi zao

10.national defence security in nigeria

9.central intelligence organization in zimbabwe

8.national security council in ghana

7.national intelligence security and services in kenya

6.information network security agency in ethiopia

5.director of territory survillance in morroco

4.rwanda intelligencey agency in rwanda

3.General intelligence agency in egpty

2.state intelligence security agency in south africa

1.departmental of intelligence agency in algeria ......
 
Tuwekee na mashirika 10 bora kwa utekaji.
 
Kuanzia namba 1 mpaka 5 kuna kaukweli ila kuanzia 6 mpaka 9 ni moja kati ya hovyo zaidi mfano Nigeria na Kenya wote wanafanyiwa matukio ya ugaidi ndani ya aridhi yao pia ni nchi vinara kwa rushwa na ufisadi
Hiyo sio hoja Isreal na U.S. bado zinafanyiwa matukio mabaya zaidi licha yakua na most sophiscated intellegence network......sembuse Kenya na Nigeria
 
Huwa unaona reaction ya USA na Israel wakifanyiwa matukio ya kigaidi?

Huwa unaona reaction ya USA dhidi ya mafisadi ?

Toka USA aanze kufanyiwa ugaidi umeshawai kusikia kambi yake ya jeshi imevamiwa na askari wake kunajisiwa
 
Sidhani kama kweli Zimbabwe na Ghana wanaweza kua juu yetu,Zimbabwe ni watu wa chini sana bhana kwa mambo mengi
nilikuwa nachek yotube kwa mujibu wa shirika la nacheki wametoa best powerful intelligencey in africa yaani mashirika bora ya kijasusi na yenye nguvu africa kuhusu vigezo vilivyotumika ni technologia,uchumi, siasa,uongozi bora katika kukuza ndani ya nchi zao

10.national defence security in nigeria

9.central intelligence organization in zimbabwe

8.national security council in ghana

7.national intelligence security and services in kenya

6.information network security agency in ethiopia

5.director of territory survillance in morroco

4.rwanda intelligencey agency in rwanda

3.General intelligence agency in egpty

2.state intelligence security agency in south africa

1.departmental of intelligence agency in algeria ......
 
Kuanzia namba 1 mpaka 5 kuna kaukweli ila kuanzia 6 mpaka 9 ni moja kati ya hovyo zaidi mfano Nigeria na Kenya wote wanafanyiwa matukio ya ugaidi ndani ya aridhi yao pia ni nchi vinara kwa rushwa na ufisadi

Usisahau kuwa hao magaidi pia wana Military Intellgenc za hali ya juu, usiwachukulie hoya hoya mkuu. Network ya Al shabbahb si ya kitoto
 
Sidhani kama kweli Zimbabwe na Ghana wanaweza kua juu yetu,Zimbabwe ni watu wa chini sana bhana kwa mambo mengi
Ghana hiyo ambayo nayo imefuata mkondo wa Cameroon wakitaka na wao waipasue nchi yao wapate jamhuri nyingine ndani ya Ghana.
 
Suala tunapima reaction au uwezo wa intellegence net work mbona Jomba unachanganya Mada vip?
Ujasusi ni pamoja na reaction mfano kwanini magaidi huwa hawateki raia wa urusi ?

Mara ya mwisho kusikia magaidi wamefanya tukio Kenya ni lini
 
Back
Top Bottom