Fadhila inapobadilika kuwa mtaji

Siempre Hechos

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
1,116
1,327
Habari wana JF. Nimevutiwa na mijadala mbalimbali ya wanajamii forum nami nimeamua nijiunge rasmi kuweza kujadiliana, badilishana mitazamo, kushilikishana uzoefu pamoja na kuoneshana na kufahamishana kuhusu fursa.

Nimekuwa na kitu nikijiuliza kwa nini kuna baadhi ya watu unaweza kuwa umekwama unashida flani inahitaji msaada ukamwendea mtu akakusaidia lakini baada ya hapo huyo mtu aliyekusaidia anakugeuza mtaji wake, kila anapopatwa na shida anakuja kwako mara nyingi zaidi akihitaji na wewe umsaidie tena kwa kuongezea na maneno "unakumbuka mimi ndo niliyekusiadia" je ni haki kumgeuza mtu uliyemsaidia kuwa mtaji na suruhisho la kila shida zako?

Karibuni kwa michango yenu tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom