fad fundi

Karibu sana. Kama unakulb kaya karibu area zangu.
 
karibu fundi, japo lugha yako ilinipa shida kidogo kukuelewa, ila nimekuelewa.
 
hi jf i'm a new kid on a blok just want to enjoi the ideas of great thinkers

...............fad fundi,karibu sana hujambo?........................ukikaribishwa karibia basi........uelewe kuwa mkono mtupu pia haulambwi.......
 
nimekaribia mwenzangu ila ctaki kuvimba kifua kama nimepigwa ngumi ya mgongo au kujifanya paka wa mpishi kujua kila msosi
HI
 
Back
Top Bottom