Facts zinazotia aibu Nchi na za kushughulikia UPESI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facts zinazotia aibu Nchi na za kushughulikia UPESI...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chapakazi, Oct 16, 2009.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna facts kadhaa huwaga kama vile zimefichwa, lakini hujitokeza katikati ya discussion mbalimbali. Katika hii thread ningependa wadau tuziweke hapa wazi kwa dhumuni la kurudisha sera ya Ukweli na Uwazi. Na Pili, kwa dhumuni la kuhakikisha zinafanyiwa kazi. Sisi kama wananchi (wenye haki ya kujua na kuhusika katika mipango endelevu) kututumia nafasi hii sio kwa kuponda tu, bali kuchangia katika ufumbuzi wake.
  Kumbuka...nchi ni ya wote, hivyo solution sio lazima itoke Serikalini tu! As a private sector, we have to play our part. It begins by identifying the problem (hence the thread), then nominating solutions. Hivyo wadau, kazi kwetu...toa fact na source tafadhali. Mwenye solution...feel free to add. Kama mods wangependa, in the future kunaweza kukawa na jukwaa la kujadili mipango endelevu. For more, you can refer to:
  https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/40809-the-need-for-a-forum.html

  Pia itakuwa rahisi kwenye kampeni kuwauliza wagombea...'na hii fact mna mpango gani nayo?'


  1.Nchi yetu ya Tanzania, huduma ya umeme inauwezo wa kuhudumia asilimia 12 tu na bado kunamgao.
  imetoka hapa:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41138-kauli-ya-zitto-kabwe-juu-ya-mgawo-wa-umeme.html
   
Loading...