Facts zinathibitisha Magufuli ni muhimu sana kwa taifa hili

Environmental Security

Senior Member
May 21, 2020
181
261
Kuna facts nyingi ambazo ukifuatilia utajua kuwa Magufuli ni Muhimu sana kwa taifa hili na yupo kwa wakati sahihi.

Vision 2000 - 2025, inaelekea kufikia mwisho na bado tulikuwa nyuma sana katika kuifikia malengo mengi katika vision hii, kuna mahali ambapo nchi inatakiwa kuwepo ili kushabihiana na dira yetu hii, kwa jinsi tulivyokuwa nyuma katika kufikia malengo yetu, imetufaa sana kumpata rais ambaye kasi yake, maamuzi yake, uthubutu wake umetupeleka kwa kasi katika kuona kuwa inawezekana kufukia malengo yetu ya vision 20-25. (Nimeiambatanisha nashauri tupate muda wa kuisoma)

Ni ajabu namna ambavyo amefanikiwa kufanya sekta zote zipige hatua, Elimu ufaulu umeongezeka na mazingira na kufundisha na kujifunza yameboreshwa, maliasili za taifa hazichezewi hovyo na zinachangia pato la taifa sasa, sekta ya afya inaimarika kila siku kwa majengo, watalam, vifaa na ubora wa huduma, ulinzi na usalama sina mengi ya kusema ila ndio eneo limekua stable kwelikweli, nidhamu na ufanisi katika sekta ya utumishi wa umma imeimarika sana, kilimo kinaleta tija mija kwa moja kwa mkulima na tuna usalama wa chakula kama taifa, usafirishaji na uchukuzi amegusa sana huko na tunashuhudia, maji ya bomba na visima vya uhakika sasa hadi vijijini kama kwetu nilipo, sanaa na michezo limeboreshwa kiasi cha kuzalisha mabilionea na ni sekta inatabirika, mifugo na uvuvi tunaona tunapoelekea sio kwa kupapasa kama ilivyokuwa zamani, na nchi na wananchi tunanufaika sasa. (ni mengi nitaendelea kueleza na ninajua wengi wetu tunayafahamu)

Personality yake, aina ya maamuzi anayofanya, ujasiri, ufuatiliaji wa mambo na taarifa (into details) usimamizi wa fedha za umma, nia yake ya dhati ya kutaka taifa liwe taifa imara na lenye proud vinafanya kuwa yeye binafsi kwa kuanzia anakuwa mtu muhimu sana kwa taifa kwa majira haya na nyakati hizi, ili kufikia ndoto za taifa letu na watu wake.

Kwasasa tuna uhakika kuwa hakuna jambo litabaki likiwa halijafanyiwa maamuzi sahihi, ikiwa bado basi tuna hakika ndili linalofuata.

Tunaye Rais sahihi, let us be proud of kilicho chakwetu.
 
Viva Magufuli

Kuna siku nimekaa na rafiki yangu wa Chadema akaniambia, bila Magufuli ccm ingekosa ushawishi sana
Ni kweli bila Magufuli kuingia kugombea 2015 CCM tungefungishwa virago sio siri chama kilikuwa cha wachache wenye nguvu ya pesa na watoto wa vigogo walalahoi hawakuwa na nafasi. Walio wengi walikuwa wameichoka CCM Magufuli kaamsha ari mpya ya chama
 
Huo ndio ukweli Mkuu, Rais Magufuli amekuja kukirudisha chama kwenye makali yake
Wengi walikizira chama kwa picha iliyojengeka

Ila Magufuli kafanya kila Mtanzania ajivunie kuwa Mwana CCM
Ni kweli bila Magufuli kuingia kugombea 2015 CCM tungefungishwa virago sio siri
chama kilikuwa cha wachache wenye nguvu ya pesa na watoto wa vigogo walalahoi hawakuwa na nafasi.Walio wengi walikuwa wameichoka CCM magufuli kaamsha ari mpa ya chama
 
Huo ndio ukweli Mkuu, Rais Magufuli amekuja kukirudisha chama kwenye makali yake
Wengi walikizira chama kwa picha iliyojengeka
Ila Magufuli kafanya kila Mtanzania ajivunie kuwa Mwana Ccm
Nakumbuka watu walikuwa wakiona aibu hata kuvaa nguo ya CCM ukivaa ukipita mitaani kama kariakoo unazomewa utafikiri wewe gaidi!! sasa hivi thubutu ukivaa unatembea kifua mbele na watu wanakuona yes hawa ndio wenye nchi Raisi Magufuli karudisha heshima hadi ya vazi la CCM

Ona tulivyokuwa tukizomewa CCM ukivaa nguo ya CCM ONA MAMA WA WATU ALIVYOZOMEWA KARIAKOO KWA KUVAA VAZI LA CCM

 
Ni wazi Mkuu chama kiliporomoka sana

Rais Magufuli ametuletea heshima sana huo ndio ukweli

Naamini kabisa Wastaafu wana amani moyoni kwani chama kipo imara sana kwa sasa
Nakumbuka watu walikuwa wakiona aibu hata kuvaa nguo ya CCM ukivaa ukipita mitaani kama kariakoo unazomewa utafikiri wewe gaidi!! sasa hivi thubutu ukivaa unatembea kifua mbele na watu wanakuona yes hawa ndio wenye nchi Raisi Magufuli karudisha heshima hadi ya vazi la CCM

Ona tulivyokuwa tukizomewa CCM ukivaa nguo ya CCM

 
Ni wazi Mkuu chama kiliporomoka sana

Rais Magufuli ametuletea heshima sana huo ndio ukweli

Naamini kabisa Wastaafu wana amani moyoni kwani chama kipo imara sana kwa sasa
CCM ni bora kuliko TANZANIA. Juha lilijibu hivyo.
 
Ni wazi Mkuu chama kiliporomoka sana

Rais Magufuli ametuletea heshima sana huo ndio ukweli

Naamini kabisa Wastaafu wana amani moyoni kwani chama kipo imara sana kwa sasa
Heshima ya kulazimisha, demokrasia imebakwa alafu mmakuja kujisifia "tuko imara sasa".
 
Deni la taifa ni Sh. Ngapi?
nashindwa kukupa jibu sababu Mimi ninavyojua kupata deni la Taifa inatakiwa ujumlishe madeni anayodaiwa kila mtanzania awe alikopa kwa jirani, benki, saccos, vicoba nk ukijua hayo madeni yao ukayajumlisha Total utakayopata ndio deni la taifa. Kwani wewe unadaiwa shilingi ngapi ulizokopa sehemu mbalimbali? Takwimu zinakuwa ngumu kupata sababu wakopaji wengi ukiwemo wewe mnaficha madeni yenu

Ukitaka kujua mfano deni la familia chukua madeni yako ya mkeo na wanao .ukishajumlisha ndio Deni LA familia .Haya tupe Deni LA familia yako ni shilingi ngapi? Deni linaongezeka au linapungua?
 
Back
Top Bottom