Kupokea na kutoa rushwa ni kosa mbele ya sheria. Je, waweza thibitisha kuhongwa jumba kwa Lissu? Na huo mgodi uliomhonga uutaje humu ili kuondoa migongano.Laxina apondwe. Hujasoma yote? Amesema alihongwa jumba sasa yuko upande wao.
Na kama Una ushahidi nenda kawape takukuru ili wamkamate. Kinyume chake wewe no mzushi na mvamizi wa jukwaa kwa kuleta kwako habari za uongo. Hivi nawe unapokea posho kutoka Lumumba?
Nikuongeze na hill: Wewe na mwalimu wenu pole×2 mmeshashindwa kujenga hoja za kipropaganda. Mkajipange upya kupambana na Lissu kwani siyo size yenu! Mtaishia kumweka rumande tu na mkifika kwa pilato mnaufyata!