Facts: conflict of interest - kamati ya huduma za jamii na bajeti ya afya

KIWAVI

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
1,817
699
Makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya huduma za jamii Dr Ndugulile ameharibu mlolongo wa bajeti, ana kampuni ya mambo ya maabara na anaharibu utaratibu wa kuendeleza vitengo kwa kubamba matamanio ya manunuzi ya vifaa vya maabara

bajeti ya wizara hiyo ina mafamba
 
Back
Top Bottom