Facts Check: Mdee na kundi lake huenda wametekwa au walikuwa majasusi kindakindaki ndani ya CHADEMA

Inahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje..
Kama ndivyo ilikuaje basi Ndugai amshambulie Mbowe? Baada ya muda ukweli utakuwa wazi.

Miaka mitano Serikali ya ccm ilikuwa ikipambana na Chadema na kuwaaminisha watu kuwa tatizo kubwa linalokwamisha maendeleo ni Chadema. Sasa wamebaki wenyewe lkn bado wanahangaika kutafuta ushirika na wapinga maendeleo.
 
Alafu saizi jf kuna trend kila mtu akitaka kupata waungwaji mkono kwenye hoja yake lazima ajifanye intellectual kwamba anazijua sana mbinu za ki intelijensia
 
Halima ni kama Lowasa na Sumaye ninauhakika lazima atarudi CHADEMA kwa jinsi alivyoongea Leo hakuwa tayari kusimamia upande mmoja kuchafua upande mwingine yeye amekaa katikati Kila upande uone jinsi gani unawahitaji, Ila moyo wake upo CHADEMA wazi.

wazi, kingine CHADEMA inaonyesha inasumbuliwa na presha ya wanachama ambao hawawezi kucheza michezo ya akili wanataka Kila kitu kiwe wazi hivi Halima wasingefanya hivyo Nani angejua haya yote pamoja na kupaishwa CDM kwamba inatakiwa bungeni? Kwasisi spy hili game likitumika vizuri Kuna upande ungepata faida.
 
Anajiona mjanja sana hasa kwa kutaja FBI,CIA,MOSAD
Ni ushamba wa kizamani sana unao dumaza fikra na kudidimiza ongezeko la taifa la vijana nguvu kazi lenye ubunifu

Huwezi kuwakuta israel wanajifunza mbinu alizotumia nyerere kumpiga iddi amini ni kwasababu wamekataa kutumika ki fikra wanataka kutengeneza vya kwao
 
Inahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje , Mdee ametoa warning kubwa...
Ona nae huyu anasapoti ukafwafwa uonekane ni facts kwa logical fallacy ya SNOAB APPROACH

Kwamba wasiokubaliana na bandiko lake wote sio watu wa reasoning?
 
Kila mtu TAnzania anadhani kila mtu anaipenda serikali na kuitumikia kwa usenge wa "ujasusi"

Matako ya ujasusi,hata ningekua na vipaji kiasi gani hawa matakor wakanitaka ni-join that nonsense ningewatemea mate usoni wazi wazi...
Bado sana kwa tanzania kusema tuna idara ya kijasusi kwa manufaa ya nchi, labda kama maaskari wapelelezi ndio wameamua kuwaita hivyo

Na vile vi wire wanavyovaaga sikioni usikute wanasikiza singeli tu
 
Hapo ndo akili yako ilipoishia hongera!!... Yani watu wanajifanya(ga) wasomi, wana facts kumbe hamna kitu mmmchchchchwwwiiiiiiiiiiij
 
Ni ushamba wa kizamani sana unao dumaza fikra na kudidimiza ongezeko la taifa la vijana nguvu kazi lenye ubunifu

Huwezi kuwakuta israel wanajifunza mbinu alizotumia nyerere kumpiga iddi amini ni kwasababu wamekataa kutumika ki fikra wanataka kutengeneza vya kwao
Wabongo tumesha pigwa juju na kile kibatali
 
Historia ya Mdee inasema amekuwa Chadema kwa karibia miaka kumi na sita, sasa kama TISS walimuwahi kabla hajaemda Chadema ina maana walimpata akiwa mtoto, kwa hii TISS yetu inavyofanya mambo yake na organisation yake mfano kwenye madudu ya ule Uchaguzi Mkuu uliopita I doubt kama wana uwezo huo wa kumuweka mtu kwenye chama kingine mapema hivyo.
Hujui unachozungumza. Kama mtongozo ulianza 2010 ?
 
Historia ya Mdee inasema amekuwa Chadema kwa karibia miaka kumi na sita, sasa kama TISS walimuwahi kabla hajaemda Chadema ina maana walimpata akiwa mtoto, kwa hii TISS yetu inavyofanya mambo yake na organisation yake mfano kwenye madudu ya ule Uchaguzi Mkuu uliopita I doubt kama wana uwezo huo wa kumuweka mtu kwenye chama kingine mapema hivyo.
Wazazi wake ni waajiriwa wa UDSM na amekulia pale. Hao watu UDSM ndio uti wao wa mgongo
 
Wametekwa wapi. Wakati kigogo alituambia kabla kuwa usiku kucha wanapigiana simu bashiru
 
Haya nakamilisha mjadala ona halafu tembea
IMG_20201129_093053.jpg
 
Inahitaji uwe mtu wa reasoning kumuelewa mtoa maada, binafs haiingii akilini et Mdee kakurupuka Tu kwenda kuapa , inaniwia vigumu kukubali na ndo mana najipa mda kuangalia hii show inakwendaje , Mdee ametoa warning kubwa , yeye sio fala na cheap labour kwamba mwenyekiti anaweza mtoa kafara kizembe , inavyoonekana show nzima mbowe anaijua , Mdee na Mbowe ni high command wa chama.

Kama walivyoelewana (huenda) Mdee amemkumbusha Mbowe kushughulikia hyo issue na kuweka mambo Sawa .... Mbowe anaonekana kulega lega na hii issue inamchafua Mdee anaonekana snitch, hivyo naona kama amemkumbusha kwamba wao ni ofisi moja asibabaishwe na temper za watoto akina mnyika , lakn akilegea kutimiza majukumu yake Mdee atamwaga ugali , lakn hataki kufanya hivyo wakat upande wa pili umeonyesha udhaifu mkubwa .....ila Mbowe akizembea basi watavuana nguo

Mdee ana reason na somehow ana hekima ....
Sikiliza ndugu huenda Mbowe na Halima walikuwa kwenye vikao vya pombe wakapeana maelekezo Covid-19 iundwe na ikaapishwe Garage lkn ukweli nikwamba Chama kina taratibu zake zilifuatwa? kama hazikufuatwa ni ujinga kujadili Mbowe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Deep state ya kibongo ndiyo yenye tatizo; watumike kukipa ushindi chama twawala, halafu wanahangaika kuwaweka kina Mdee ili kuonekane kuna upinzaji. It is simply pathetic
 
Back
Top Bottom