Bwana Kimbunga
Member
- Nov 28, 2012
- 28
- 5
Wapo wanaomuita Magalle na wapo wanaomtambua kwa jina la John Shibuda. Lakini mwenyewe anasema kuwa majina SHIBUDA JOHN PAUL MAGALLE ndio yanayotambulisha na hajisikii vibaya kuitwa lolote kati ya hayo.
Kwa sasa ana mika zaidi ya 60 na ndie mbunge wa Maswa Magharibi ( CHADEMA) ambaye kutokana na wadhifa wake, kanuni zinaelekeza aitwe Mheshimiwa. Ni mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na baba wa watoto watano, wote wenye elimu ya Chuo Kikuu.
Mwanasiasa huyo bingwa wa misemo inayowavunja watu mambavu, aliwahi kuishi Zanzibar ambako anasema aliheshimiwa na kusikilizwa na watu wa rika tofauti, akitaja miongoni mwa waliompa heshima ni Mzee Hamdan Mwidini wa kilichokuwa chama cha AA (African Assoiciation).
Kwa kifupi, Shibuda ni kisiki cha mpango, licha ya kujipambanua kwa msimamo wake wa kutokubali kugeuzwa mtumwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Shibuda bado yuko ndani ya CHAMA hicho cha Upinzani.....hivi umeshawahi kujiuliza kama Shibuda anaonekana ni msaliti ndani ya CHAMA kwa nini hafukuzwi toka kundini??? hapa there is something fishy, it is either SHIBUDA NI STRONGER THAN THE WHOLE PARTY ama HE GOT SOMETHING OVER THE PARTY kiasi cha kuogopwa na Inner Circle ndani ya Chama.
SHIBUDA WEWE NI JEMBE LA UKWELI KWA SABABU UMEKATAA KUWA MTUMWA WA FIKRA NA MATENDO BECAUSE NDANI YA CHADEMA, IDEAS YA WABUNGE WENGI INAKUWA SHAPED NA KATIBU MKUU....
MSIMAMO WA SLAA NDIO MSIMAMO WA CHADEMA.....