Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

Nov 28, 2012
28
5
sawa.jpg


Wapo wanaomuita Magalle na wapo wanaomtambua kwa jina la John Shibuda. Lakini mwenyewe anasema kuwa majina SHIBUDA JOHN PAUL MAGALLE ndio yanayotambulisha na hajisikii vibaya kuitwa lolote kati ya hayo.

Kwa sasa ana mika zaidi ya 60 na ndie mbunge wa Maswa Magharibi ( CHADEMA) ambaye kutokana na wadhifa wake, kanuni zinaelekeza aitwe Mheshimiwa. Ni mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na baba wa watoto watano, wote wenye elimu ya Chuo Kikuu.

Mwanasiasa huyo bingwa wa misemo inayowavunja watu mambavu, aliwahi kuishi Zanzibar ambako anasema aliheshimiwa na kusikilizwa na watu wa rika tofauti, akitaja miongoni mwa waliompa heshima ni Mzee Hamdan Mwidini wa kilichokuwa chama cha AA (African Assoiciation).

Kwa kifupi, Shibuda ni kisiki cha mpango, licha ya kujipambanua kwa msimamo wake wa kutokubali kugeuzwa mtumwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Shibuda bado yuko ndani ya CHAMA hicho cha Upinzani.....hivi umeshawahi kujiuliza kama Shibuda anaonekana ni msaliti ndani ya CHAMA kwa nini hafukuzwi toka kundini??? hapa there is something fishy, it is either SHIBUDA NI STRONGER THAN THE WHOLE PARTY ama HE GOT SOMETHING OVER THE PARTY kiasi cha kuogopwa na Inner Circle ndani ya Chama.


SHIBUDA WEWE NI JEMBE LA UKWELI KWA SABABU UMEKATAA KUWA MTUMWA WA FIKRA NA MATENDO BECAUSE NDANI YA CHADEMA, IDEAS YA WABUNGE WENGI INAKUWA SHAPED NA KATIBU MKUU....

MSIMAMO WA SLAA NDIO MSIMAMO WA CHADEMA.....
 
Pambaf!

Acha mawazo ya kina Nepi vuvuzela.
Hata siku moja mtu hawezi kuwa na nguvu kuliko Chama hili hata CCM wanalijua.
 
Iwapo tungekuwa tunalipia kila thread ambayo mtu anaanzisha, JF ingekuwa safi sana. Nway... kwenye msafara wa mamba huwezi kuzuia kenge...
 
Pumbaaf!
Tunasema Tanesco wamesema hawawezi kujiendesha huko, option waliyobaki nayo ni kupandisha bei ya umeme kwa 100%, halafu wewe unaleta habari za danguro hapa!

Akili za ccm ni kama za pit-latrine.

Seenz kabisa!
 
Abdul Kinana is stronger than CCM, amewahi kutorosha wanyama pori walio hai na makontena ya pembe za ndovu, lakini CCM na serikali yake wamemuogopa na hadi leo hawajamkamata kwa kuwa KINANA ni stronger than CCM...

Na kwa woga wamempa cheo cha katibu mkuu wa Chama chao
 
Iwapo tungekuwa tunalipia kila thread ambayo mtu anaanzisha, JF ingekuwa safi sana. Nway... kwenye msafara wa mamba huwezi kuzuia kenge...

Naunga mkono hoja kwa kuanzia thread inayoandikwa iwe posted kwa buku mbili just Tshs 2000. Wapuuzi watafikiria mara mbili au watalipiwa na wanaowatuma. There is no free lunch karne hii.
 
Yaani mtoa mada umetoa analytics za kitoto kweli (hasa hizo conclusions zako mbili). Kila chama kina utaratibu wake wakudili na watu kama Shibuda.
Yaani umeshindwa hata kufikiri kwamba mtu aliyeingia juzi utawezaje kusema 'inner circle' inamuogopa au ana something over the party!?
Mambo yanaenda taratibu, subiri uone, "Kama Shibuda atagombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA hapo ndipo nitajua ulitabiri vyema".
Ila kwa facts zilizopo hauwezi ukawa na conclusions za ajabu hivi
 
Slaa anajua akimgusa huyo anachezea makonde.Yeye ana dili na samaki wachanga(madiwani)
 
Dr Slaa anawanyima usingizi, sijui mpaka ifike 2015 mtakuwa hajasinzia! yetu macho ngoja tusubiri.

"Tukiwagusa mafisadi nchi haitatawalika - Waziri mkuu" hizi ndizo kauli mlizozoea kuzisikia sio!? na ndiyo hofu yenu kubwa kwa Dr Slaa - maana yeye atawagusa hao mafisadi!
 
mwenzie naye kapuuziwa sasa anatanga huko na kule kuomba interview kila sehemu...hawa mamluki wanaliwa timing tu
 
The concern one should have with Shibuda is his mental health stutus and not his "political power". His presence in Parliament proves that in some areas in the country a vote for chadema is all that matters. Lets hope coming 2015 Chadema will have "watu" in every position and not "viatu" him being the case.
 
Isingekuwa busara za viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake kwa ujumla, hali nzuri ya hewa kisiasa tuliyo nayo isingekuwepo. Busara zidumishwe na siku si nyingi kila Mtanzania atakiri kuwa CHADEMA kimebebe ukombozi wa nchi na rasilimali zake, ikiwa ni pamoja na watu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom