MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
1.Uvutaji wa sigara unasababisha kifo cha mtu 1 kati ya watano kila mwaka US.
2.Sigara Moja inakemikali zaidi ya 4800, 69 kati ya hizo zinasababisha kansa.
3.Karibu 69% ya wavuta sigara wanatamani kuacha kabisa.
4.Moshi wa sigara kwa waiovuta, Kwa marekani tu unasababisha vifo vya zaidi ya watu 5000 kila mwaka.
5.Sigara Billion 15 huvutwa kila siku dunia nzima.
6:Adolf Hitler ndio Mtu wa kwanza kuanzisha kampeni ka kuzui kuvuta sigara katika historia ya hivi karibuni.
7:Majivu ya msanii TUPAC yalichanganywa na bangi kisha kuvutwa na marafiki zake waliokuwa wanampenda sana.
8:Kuvuta sigara karibu na APPLE computer unaondoa warrant yake kama ukidhibitika.
9:Zaidi ya 1/3 ya wavuta sigara dunia nzima ni wachina.
10:Wavuta sigara waliokithili wengi hutamani kuacha kuvuta sigara kuanzia kija Jumatatu.
11:Utafiti unaonyesha BANGI haina madhara sana kama sigara na Pombe.
12:Uvutaji wa sigara utakufanya uwahi kupata mvi mapema.
13:Idadi ya wavuta sigara china ni wengi kuliko watu wote marekani.
14:Karibia 1/3 ya watu wazima wote duniani wanavuta sigara