Facts 101: Mwaka 1980 watumishi wa afya wa hospitali ya Las Vegas walikuwa wanabeti muda ambao mgonjwa atakufa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Inashangaza eeh ila ni rahisi! Wanabishana tu, yule kesho hatoboi, anayebisha aweke hela. Wadau wanaweka hela, mara eekh mtu kaliwa

Mchezo ulipogundulika watumishi walilazimika kusimamishwa kazi

Lakini kwa ripoti za sasa mchezo huo umerudi tena watumishi wa afya wanapandiana dau tu. Inasemekana soko la kubeti kuhusu kufa kwa mgonjwa huko Taiwan ndio kumeota mizizi ya kutosha kabisa

Mchezo huu hadi ndugu wa wagonjwa wanashiriki watu wanapandiana hadi $ milioni 1. Duniani kuna mambo aisee, ila ndio hivyo hela ndio inayotafutwa
 
Back
Top Bottom