FactCheck: Je, ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita?

Sumu hatunywi, ila hilo liuwanja halina tija. Hata hao abiria wachache wanaoteremkia hapo ni wa Ngara, Muleba na Karagwe.

Mwendazake alifuja sana Kodi zetu kwa kuwekeza kipumbafu Kijijini kwake
Yaani wewe ndo ovyo kabisa! Kama kuna abiria wa Ngara, Muleba na Karagwe si wamepata sehemu ya kupandia ndege? Ulitaka waende mwanza?
Acheni propaganda, uwanja huo ni wa Geita! Abiria wameongezeka hadi zaidi ya 300 kwa mwezi, soma gazeti la Mwananchi la jana
 
Walikuwa na mpango wa kununua na wao ndio walioanza kununua hata hizo BOMBADIER mbili! Magufuli pia alitumia DEPOSIT yao kumalizia kunua BOMBARIER mbili zingine. Watu hawajaelezwa hilo kwa kutaka kumjaza sifa Jiwe. Plan yao Ilikuwa baada ya kusatisfy local market then they would start operating REGIONAL flights and ultimately they would have gone international where the acquisition of DREAMLINER planes was expected. Every step had to be implemented step by step and not haphazardly.
Uko deep, that was the plan. Ila Mwendazake akafanya ndivyo sivyo kwa msukumo wa rushwa ( commission)
 
Yaani wewe ndo ovyo kabisa! Kama kuna abiria wa Ngara, Muleba na Karagwe si wamepata sehemu ya kupandia ndege? Ulitaka waende mwanza?
Acheni propaganda, uwanja huo ni wa Geita! Abiria wameongezeka hadi zaidi ya 300 kwa mwezi, soma gazeti la Mwananchi la jana
Hapo umedhihirisha umburura wako. Abiria 300 kwa mwezi sawa na 75 kwa wiki au 37 kwa trip 2 za kwenda na kurudi. Yaani wana drop 18 Chato na wanapanda 18.

Bado kimahesabu hailipi kupeleka Bombardier itue na kupanda kwa idadi hiyo ya abiria.
 
Sasa

Sasa hapo umburura uko wapi? Watu wanatoka Dar hadi Mwanza na abiria wawili tu! Unashanga chato abiria kupata abiria 18?
Wewe ni wa ajabu sana
 
Sasa

Sasa hapo umburura uko wapi? Watu wanatoka Dar hadi Mwanza na abiria wawili tu! Unashanga chato abiria kupata abiria 18?
Wewe ni wa ajabu sana
Halafu utegemee ATCL ipate faida kama unarusha ndege bila kujali mapato na gharama unazotumia??
 
Hapo ni GIT Mwaka huu!!. Ila ATCL wajirekebishe, wasiwe na kiburi cha kuacha abiria hata mmoja kama yuko tayari uwanja wa ndege.

IMG_20220106_130253_352.jpg

IMG_20220106_130246_592.jpg
 
Mimi ni shahidi kwenye ufafanuzi ulioutoa, nimesafiri njia hiyo mara nne nikielekea Kibondo na mara zote ndege ilijaa. Nitashangaa sana kama Air Tanzania watasitisha huduma huko eti kwa kukosa abiria... Hili siyo kweli!.

Air Tanzania wataondoka kwenye biashara kwa uzembe wao wenyewe kwa kutokuwa makini kwenye mienendo ya kibiashara. Ushahidi ninao wa jinsi walivyoacha abiria watatu mwezi wa 12 mwaka jana eti kwa kuchelewa kucheck in.
Kwani hapo kosa la ATCL liko wapi kwa abiria anayeshindwa kuwahi kulingana na ratiba?

Hiyo ni ndege brother wala siyo bus la Nyahunge!
 
Kwani hapo kosa la ATCL liko wapi kwa abiria anayeshindwa kuwahi kulingana na ratiba?

Hiyo ni ndege brother wala siyo bus la Nyahunge!
Hakika usafiri wa ndege unakutaka uwahi lakini pale Air Tanzania "Check in counter" kuna figisu zinafanyika ambazo hazina tofauti na enzi za Fastjet. Kwa kuwa ATCL bado wako kwenye kujijenga wawe makini sana vinginevyo watapigwa mabao na makampuni mengine ya usafiri wa anga.
 
Hapa tunajadili, sio matusi!, nafahamu biashara ya usafiri wa ndege sio ya daladala!,
Usidhani Geita hawana uhitaji wa usafiri wa ndege
Wewe unamiliki daladala ndiyo unataka kufananishwa na airline business!! Kujuwa biashara siyo sawa na kuwa na matako, kila mmoja anay
 
Back
Top Bottom