FACT ya leo: 95% of WOMEN shave their privates...and 16% of men do...

kwa lugha nyingine wanaume ndo wanaongoza kwa kuwa na misokoto ya nywele huko chini?????
 
nakuelewa uzuri brah!..ndo naenda kunako usafiri sasa...see you some other time Jg!
simamia hao watu...wanadokoa mbaya!wanahakikisha ww ukimaliza kujenga na wao walau wanaanza msingi.

Haya Mr. Have a safe journey !
 
uchunguz umeufanya lini na ukawafanyia akina nani tupe taarifa inayojitosheleza
 
hiyo ni fact tafadhali...tusije tukakamatana mashati hapa...LOL
jpili njema GTs

kama hawaamini waambie wakusanyike sehemu halafu waseme ccm oyee au peoples power au waimbe nyoosha kidoleee Adela kwa vitendo
 
Back
Top Bottom