Fact: Wanawake wanaongea maneno 15000 kwa siku wanaume maneno 5000....

Angalia mwanaume na mwanamke wakiwa kwenye ugomvi mwanaume maneno yanaisha mapema wakat mwanamke bado ukimpiga bado anaongea! Hence proved!

Stevoh umechukua sample yako tu i think.. But generally kuna wanaume wanaoongea sana kuliko wanawake..
 
duuuh! Mwisho mtakuja na fact kwamba mwanaume na mwanamke wanafika mshindo mara ngap tangu kuanza ngono mpk kufa.
 
Back
Top Bottom