Fact: Wanawake wanaongea maneno 15000 kwa siku wanaume maneno 5000....

Oh come on! Enough of the facts now!

Haya stevoh umeipata wapi hii?!
 
Hiyo kitu niliikuta kwenye bulogu ya diva wa xlaus efeme miaka ya 2008 au 2009 hv aliweka hilo bandiko.
 
Hiyo kitu niliikuta kwenye bulogu ya diva wa xlaus efeme miaka ya 2008 au 2009 hv aliweka hilo bandiko.
 
Ni nani huyo alikua ana hesabu? Napenda anihesabie na idadi ya nyota,
 
Mim nimeshinda home tu leo na sidhani kama maneno 5000 nimefikisha, au unahesabiaga alphabet ya kila tamshi?
 
Oh come on! Enough of the facts now!

Haya stevoh umeipata wapi hii?!

Angalia mwanaume na mwanamke wakiwa kwenye ugomvi mwanaume maneno yanaisha mapema wakat mwanamke bado ukimpiga bado anaongea! Hence proved!
 
Back
Top Bottom