Fact or urban legend ?

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
This happened at the Muhimbli National Hospital Intensive Care ward where patients always died in the same bed and on Sunday morning at 11a.m., regardless of their medical condition.

...This puzzled the
doctors and some even thought that it had something to do with the supernatural. A team was constituted and they went to the ward to investigate the cause of these incidents.

The next Sunday morning few minutes before 11 a.m., all doctors and nurses nervously waited outside the
ward to see for themselves what the terrible phenomenon was all about. Some were holding wooden crosses, prayer, books and other objects to ward off the
evil...

Just when the clock struck 11... Mukhobero Wepumbolo, the part-time Sunday sweeper, entered the ward and unplugged the life support system so that he could use the socket for the
vacuum cleaner.
 
Ayaaaaa ningekuwa na mi nna ndugu yangu alikufa hapo mda huo,ningemuua huyo mfagiaji,pumbaf zake!
 
Hahaha!hiyo ni Manslaughter jamaa hajui afanyalo!

u are right, ndio maana kesi kama hizi hakimu anaangalia mazingira ya hivo vifo kutokea.

yeye anachojua ni kuwa anahitaji socket ili aweze kufanya kazi yake na hivo hana hata elimu ya darasa la chekechea ndio kabisa, hata hajisumbui kujua kama hiyo socket inaenda kwenye mashine inayo'support maisha ya mtu, na anafanya hivi bila wasiwasi coz anaona yupo sawa tu.
 
Jina la huyo cleaner si la kitanzania ni kama la kizulu hivyo haiwezi kuwa Muhimbili labda Durdan hosp. Hapa ume copy and paste. Hata kama unataka kuchekesha watu fikirisha ubongo wako.
 
Jina la huyo cleaner si la kitanzania ni kama la kizulu hivyo haiwezi kuwa Muhimbili labda Durdan hosp. Hapa ume copy and paste. Hata kama unataka kuchekesha watu fikirisha ubongo wako.

Ok genius!so what?haukuwa na umuhimu wa kuchangia!u'r another joke here!
 
Back
Top Bottom