FACT: Nairobi Has more vehicles that Tanzania as a Whole.

Is it a surprise? Watch out, pamoja na kua Propagandist lakini kazi yangu pendwa ya ushushushu sijaiacha

Kijana kua makini ulipo napafahamu vizuri kitambo. Nenda taratibu. Hii ni Tanzania.
Boss ukona umama mob sana, you dont even hav a clue where iam
 
halafu nikiwa nasema vijana wa kikenya wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga na kujifunza kuzungumza kingereza huwa wanakasirika. kwa hakika hii ni thread ya kijinga ya kufungia mwaka hapa jamiiforum.
 
Msapere huu uzi hautakua na maana yoyote kama hauna gari...na kama unalo lipost ziba namba za usajili...haiwezekan wakenya wote hao wanamagari alafu ufungue uzi hapa kwa nguvu ya bundle pekee
atakwambia yeye yupo Australia...
 
Kama mna magari mengi mbona matatu yalivyogoma mlianza kuwalazimisha wanajeshi watumie magari yao kurahisisha usafiri?

Si kila mtu angepanda lake au?
 
halafu nikiwa nasema vijana wa kikenya wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga na kujifunza kuzungumza kingereza huwa wanakasirika. kwa hakika hii ni thread ya kijinga ya kufungia mwaka hapa jamiiforum.
How can you call someone stupid na wewe pia unaekanga thread za kijinga pia,how ironic
 
Quite a stupid analogy.
Dar being 1600km sq doesn't mean that's the built up area. It only means those are the designated boundaries on the map.
New York City is 783 km sq. Are you saying Dar is twice the size of New York. Mjinga kweli.
This is the right answer
tapatalk_1539505863838.jpeg
 
halafu nikiwa nasema vijana wa kikenya wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga na kujifunza kuzungumza kingereza huwa wanakasirika. kwa hakika hii ni thread ya kijinga ya kufungia mwaka hapa jamiiforum.
Evidences are there right in this thread ...its not a nonsensical thread...dont be lazy take your time and go through the thread
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom