Fact: How Kilimanjaro ended up in Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,783
78,452
How Kilimanjaro ended up in Tanzania
MONDAY JULY 15 2013

PHOTO | FILE The British gave up Mount Kilimanjaro to the German Tanganyika in exchange for the sultanate of Zanzibar which stretched all the way to the Kenyan coastline.

PHOTO | FILE The British gave up Mount Kilimanjaro to the German Tanganyika in exchange for the sultanate of Zanzibar which stretched all the way to the Kenyan coastline. NATION MEDIA GROUP

By MORRIS KIRUGA

There is something odd about the map of Kenya. From Lake Victoria to the Coast, the borderline moves in a straight line that is only broken by a small kink. That unassuming curve would not be significant if it did not conveniently place Mount Kilimanjaro, Africa’s highest peak, on Tanzanian soil.

The most popular myth about how the all-important curve came into being is that Queen Victoria bequeathed Mount Kilimanjaro to her nephew, the future Kaiser Wilhelm II of Prussia, as a birthday gift. While the story is romantic to a point, and easy to use as proof of the insolent attitude of the European powers in their demarcation of Africa, it is untrue.

The borderline between Tanzania and Kenya tells the story of the arbitrary nature of the demarcation process that was later legitimised by an official mapping conducted in the early 1900s. While the Berlin Conference was indeed a party where different powers shared Africa like a giant pie, the notion that the Queen gave away an entire snow-capped peak on a whim is unsubstantiated.

There seems to have been an agreement between Germany and Britain as to the location of Mount Kilimanjaro, with the only point of contention being where the demarcation line from the mountain to Lake Victoria ended. The British proposed a line from Kilimanjaro to Speke Gulf while the Germans proposed a line from Kilimanjaro to North of Musoma. Another map from the German side shows a straight demarcation line from the North Eastern corner of Lake Victoria to Mombasa.

In both maps, Kilimanjaro is part of what is today mainland Tanzania.

Schneppen Heinz’s Why Kilimanjaro is in Tanzania (1996) offers a more plausible reason for the anomaly. “Put more simply, the Germans had gained Kilimanjaro but not Mombasa, the British Mombasa but not Kilimanjaro. Now it becomes evident why Kilimanjaro is in Tanzania: because Mombasa is in Kenya.” (Page 18).

Schneppen’s assertion is based primarily on the terms of the Heligoland-Zanzibar Treaty of 1 July 1890. In the Treaty, Germany and Great Britain agreed on several territorial interests. Germany gave up its claim of Zanzibar Sultanate-which then stretched to what is today the Kenyan coast-in exchange for Heligoland and the coast of Dar es Salaam.

Heligoland is a strategic island that covers the approaches of Germany North Sea naval bases. Wilhelm viewed Heligoland as a primary strategic addition to his plan to outdo the British in naval power.

The young prince supposedly complained to his grandmother that she had two mountains while he had none. The matriarch, aptly referred to as the “grandmother of Europe”, then ordered her subjects to grant the future Kaiser one high snow-capped mountain in East Africa.

This sentimental “lavish royal gift” story was most likely the product of a Victorian satirist. It then flourished as a marketing gimmick fanned by tour operators and other tourism stakeholders.

In the years between the early 1880s and Germany’s defeat in World War I, its East African territory included what are now Burundi, Rwanda, and mainland Tanzania, then known as Tanganyika. The Zanzibar Sultanate was Britain’s proxy.

While the Heligoland treaty does not include any mention of a mountain, the demarcation lines do not seem to have changed around that part of the borderline. It seems more plausible that in giving away its claim on Zanzibar and its entire Sultanate, which then included what is now the Kenyan Coast, the Germans acquired Kilimanjaro.

Germany would not have been very concerned about giving up the Sultanate’s coastline because the deal left them with the Dar es Salaam coast.

The story of the Queen who gave away a mountain to her grandson has withstood the test of time, but it is a fabrication. While it does typify the excesses and arbitrary partitioning with which the boundaries of modern-day East Africa were determined, there is no single shred of evidence to support it. There is a Guinness World Record somewhere in the true story. Six years after the Heligoland Treaty, the pro-British Sultan Hamad died and was succeeded by Sultan Khalid. The British preferred Hamud, another pro-British, and used a clause in the 1886 treaty between Zanzibar and Britain to declare an ultimatum for Khalid to resign.

The battle to oust him begun at 9am on 27 August and ended at or before 9.40am, a mere 40 minutes later, booking its place as the shortest war in history.

The Heligoland-Zanzibar Treaty ended Germany’s interests in the Zanzibar Sultanate, hence Schneppen’s assertion that Mount Kilimanjaro was part of the deal, albeit unrecorded in the terms of the treaty.

Queen Victoria might have had her moments of whims, but Mount Kilimanjaro was definitely not one of them. From a very East African perspective, it was either Mombasa or Mount Kilimanjaro. A coastline for a mountain sounds like a fair deal.

Sijaelewa jinsi gani yule Bwana Schneppen anaeleza ugawaji, Mombasa haikuwa kamwe sehemu ya majadiliano, sijawahi kusikia habari hiyo. Mpaka jinsi ilivyo hadi leo ilipanawa kwenye November 1886 kati ya Uingereza na Ujerumani. Wakati ule bado kama mpaka, bali kama "mstari wa kugawa maeneo ya maslahi" (spheres of interest).
ONA: The map of Africa by treaty : Hertslet, Edward, Sir, 1824-1902 : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive
No. 123 Agreement between the British and German Governments, respecting the Sultanate of Zanzibar and the opposite East African Mainland, and their Spheres of Influence - 1st November, 1886 (in: Map of Africa by Treaty Vol II, p. 617 and p. 620)

"3. Both powers agree to establish a delimitation of their respectives spheres of influence on this part of the East African Continent.."
"Line of Demarcation.
The line of demarcation starts from the mouth of the River Wanga or Umbe, runs direct to Lake Jipe, passes thence along the eastern and round the northern side of the lake and crosses the Lumi River;
After which it passes midway between the territories of Taveita and Chagga, skirts the northern base of the Kilimanjaro range, and thence is drawn direct to the point on the eastern side of Lake Victoria Nyanza which is intersected by the 1st degree of south latitude"
 
Sisi kupata Mombasa tulifaidika zaidi kushinda nyinyi kupata Kilimanjaro. The British are smart. Mombasa imetusaidia sana. Nyie mawe hilo halijawasaidia kwa lolote isipokuwa utalii. Sisi hususan Mombasa port imekuwa muhimu kwa afya ya uchumi wetu.
 
Tafuta kitabu chake usome!
 
Sasa mbona kelele za kudai Mt Kilimanjaro? BTW Sisi tuna Zanzibar pia!
 
Tafuta kitabu chake usome!
Nimepata, si kitabu. Alitoa somo kwenye makumbusho ya kitaifa mnamo 1997. Hataji chanzo chochote kwamba Ujerumani na Uingereza walijadili swali la Mombasa; sidhani kwamba walifanya kweli, maana Waingereza kama Mackinnon na Johnston walikuwa tayari Mombasa:
 
Inapaswa ujue sababu ya Berlin conference ikumbukwe Ujerumani chini ya Deutsch Ostafrika company ilikuwa na territories mpaka uganda na Berlin conference of 1884 ika-regulate mgawanyo wa colonies!
 
Sehemu kubwa inayoitwa Kenya ni maeneo ya Uganda,Tanzania na Somalia, hivyo wakenya punguzeni kelele kuhusu mlima Kilimanjaro. Mlima Kilimanjaro haujawahi kuwa sehemu ya Kenya.

1DA0EB02-1BD8-437A-9B87-AA27A312C76F.jpeg
 
Inapaswa ujue sababu ya Berlin conference ikumbukwe Ujerumani chini ya Deutsch Ostafrika company ilikuwa na territories mpaka uganda na Berlin conference of 1884 ika-regulate mgawanyo wa colonies!
Mkutano wa Berlin hawakugawa maeneo, isipokuwa kukubali madai ya mfalme wa Ubelgiji juu ya beseni ya Kongo. Lakini Berlin walipatana kuhusu utaratibu wa kutambua utawala juu ya maeneo.
Afrika ya mashariki haikuwa na umuhimu wakati wa mkutano wa Berlin, mkutano uliitishwa kwa sababu kulikuwa a ugomvi baina ya mfalme wa Ubelgiji, Waingereza, Wareno na Wafaransa kuhusu pwani la Atlantiki mbele ya Kongo. Wareno walidai ilikuwa eneo lao tangu zamani; Waingereza walipinga kwa sababu hawakutaka kuwapa utawala juu ya mto Kongo uluiotazamiwa kama njia ya maji ya kuingia katikati ya Afrika; Wafaransa na Waingereza walivutana kuhusu haki ya kusafiri kwenye mto Niger (kumbuka: wakati ule pasipo na barabara wala reli usafiri nafuu ulukuwa kwenye maji, maana misafara kwa miguu ilikuwa ghali mno).

Peters na kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki walileta karatasi zao za mikataba (bandia) kuhusu maeneo nyuma ya Mrima (Usagara, Nguru, Useguha na Ukami) baada ya mkutano tu.
Lakini kabla ya Peters kufika Usagara, Mwingereza Johnston aliwahi kufika taveta ambako alifanya mikataba na machifu wa upande ule wa kilimanjaro. Mikataba hii ilikuwa sababu baadaye ya kuona mpaka ulio tofauti katika eneo la Taveta hadi Ziwa Jipe, ilhali menginevyo ni mistari tu iliyochorwa kwa kuweka rula kwenye ramani. ni vile hadi leo.
1638890661959.png
 
Lakini kabla ya Peters kufika Usagara, Mwingereza Johnston aliwahi kufika taveta ambako alifanya mikataba na machifu wa upande ule wa kilimanjaro. Mikataba hii ilikuwa sababu baadaye ya kuona mpaka ulio tofauti katika eneo la Taveta hadi Ziwa jipa, ilhali menginevyo ni mistari tu iliyochorwa kwa kuweka rula kwenye ramani. ni vile hadi leo.
View attachment 2036220
Ni ziwa jipe! Mlima Kilimanjaro haujawahi kuwa chini ya machifu wa taveta!
 
Haidhuru. (Jipa/Jipe ilikuwa taipo) Yule Johnston alikuwa mzungu wa kwanza kupata mapatano na machifu karibu na mlima; wakati ule Wajerumani bado walikuwa mbali. Na hapo ni sababu ya umbo la pekee la mpaka ukitazama Taveta.
Waingereza walijaribu kupata maelewano kusogeza mpaka kusini zaidi, wangependelea kuwa na bonde la Mto Luvu (inaitwa pia Ruvu au mto Pangani), yaani pamoja na Usambara na Upare.
Ila tu wakati ule Waingereza walitaka maelewano na Wajerumani kwa sababu wenyewe walikuwa na fitina na Wafaransa. Pia walikuwa walilenga Uganda, na Carl Peters aliwahi kufika Uganda na kupata mkataba na mfalme (ingawa mfalme yeye yule aliwahi kupatana na Waingereza) . Kwa hiyo waliona wasivutane kuhusu bonde la Luvu na Kilimanjaro, ila washike Taveta, na Wajerumani waliwaachia Uganda na pia Witu (karibu na Lamu), na kuwaahidi kutosumbua Zanzibar penyewe; halafu Waingereza waliwapa pia kisiwa cha Helgoland kenye mapatano ya 1890.
Kwa hiyo maeneo hayo leo ni Tanzania, si kwa sababu zinapaswa kuwepo, lakini kwa sababu ya siasa ya Ulaya. Vivyo hivyo Rwanda na Burundi ni nchi za pekee, kwa sababu Waingereza waliwapa Wabelgiji, ingawa wengi Ubelgiii hawakutafuta sehemu hizo, walitaka zaidi Tabora. Na Kagera ni tanzania, ingawa chini ya Wajerumani ilikuwa eneo la masultani ambako Wajerumani hawakutawala moja kwa moja, na haikuwa nchi ya pekee kama Rwanda, kwa sababu ni mpakani wa Rwanda na Waingereza walitaka kuwa nchi yote inayozunguka Ziwa Viktoria Nyanza....
Halafu kaskazini ya Msumbiji si Tanzania, ingawa Wajerumani na Waingereza walikuwa tayari na mapatano ya siri ya kugawa Msumbiji kati yao, lakini baadaye siasa kali ya uzalendo kati Ujerumani iliharibu uhusiano . . . .
 
Wacha ujinga kama alikuwa wa kwanza mbona wasisainishe mkataba na machifu wa kichagga? Na mbona mzungu wa kwanza aliyepanda mlima kilimanjaro ni German speaking? Ina maana Waingereza hawakutaka mlima kuwa mpande wao? Hiki chote unachoongea makubaliano ya mwisho yalikuwa Berlin conference! Hivi unajua mipaka ya Lake Chala Nyerere aliwapa upande wa ziwa baada ya Uhuru kiubinadamu maana Taveta ni kukame!
 
Ujinga, kumbe! Kaka unapenda maneno makubwa lakini habari zako ni dhaifu. Je unajua tofauti ya mwaka na mwaka?
Sema: kama mkutano wa Berlin ulikuwa mwaka 1884/85 (na wewe unaamini walipatana mipaka :) ), kwa nini kuna majadiliano marefu kwenye mwaka 1886 kati ya Uingereza na Ujerumani kuhusu maswali ya Zanzibar na mipaka yake, halafu tena mkataba mpya mwaka 1890 halafu tena mapatano kuhusu mipaka ya 1893? (nahisi hujajua habari hizi).
Johnston 1884 alitumwa na balozi wa Uingereza huko Zanzibar apeleleze Kilimanjaro; balozi alisikia Wajerumani wa Peters walizunguka Usagara hakupenda waenee zaidi. Johnston alikuja njia ya Mombasa, alikuta machifu wa Taveta alifanya mikataba nao. Walikuwapo Waingereza waliotaka sana Kilimanjaro (kwa sababu ya tabianchi, hakuna hatari za afya kwa Wazungu) , azimio la kwaachia Wajerumani lilichukuliwa kwa sababu Uganda na amani ya Ulaya zilikuwa muhimu zaidi.
Kuhusu Ziwa Jipe: Kaka kweli hujui kutafuta vyanzo?? Nyerere hakutoa kitu chochote. Nilikupa pale juu maneno ya mapatano ya mwaka 1886. "The line of demarcation starts from the mouth of the River Wanga or Umbe, runs direct to Lake Jipe, passes thence along the eastern and round the northern side of the lake and crosses the Lumi River". Mpaka umebadilika kivipi? Ukiona tofauti usilete maneno, lete ushuhuda (chanzo)!
 
Ujinga, kumbe! Kaka unapenda maneno makubwa lakini habari zako ni dhaifu. Je najua tofauti ya namba na namba? Sema: kama mkutano wa Berlin ulikuwa mwaka 1884/85 (na wewe unaamini walipatana mipaka ), kwa nini kuna majadiliano marefu kwenye mwaka 1886 kati ya Uingereza na Ujerumani kuhusu maswali ya Zanzibar na mipaka yake, halafu tena mkataba mpya mwaka 1890 halafu tena mapatano kuhusu mipaka ya 1893? (nahisi hujajua habari hizi).
Johnston 1884 alitumwa na balozi wa Uingereza huko Zanzibar apeleleze Kilimanjaro; balozi alisikia Wajerumani wa Peters walizunguka Usagara hakupenda waenee zaidi. Johnston alikuja njia ya Mombasa, alikuta machifu wa Taveta alifanya mikataba nao. Walikuwapo Waingereza waliotaka sana Kilimanjaro (kwa sababu ya tabianchi, hakuna hatari za afya kwa Wazungu) , azimio la kwaachia Wajerumani lilichukuliwa kwa sababu Uganda na amani ya Ulaya zilikuwa muhimu zaidi.
Kuhusu Ziwa Jipe: Kaka kweli hujui kutafuta vyanzo?? Nyerere hakutoa kitu chochote. Nilikupa pale juu maneno ya mapatano ya mwaka 1886. "The line of demarcation starts from the mouth of the River Wanga or Umbe, runs direct to Lake Jipe, passes thence along the eastern and round the northern side of the lake and crosses the Lumi River". Mpaka uumebadilika kivipi? Ukiona tofauti usilete maneno, lete ushuhuda (chanzo)!
Tafuta kuna makubalioni yards 1966 lake Chala baada ya Uhuru!

Tafuta kuna makubalioni lake Chala baada ya Uhuru!
Ukidai yapo, lete wewe! Kama kitu kimebadilika, ni Kenya waliokubali kuchora mpaka katikati ya Ziwa (jinsi inavyoonyeshwa google maps) na kutoa nusu ziwa kwa TZ, si kinyume!
Ila google maps si kisheria.

Maana katika mapatano ya 1886 ziwa Jipe lote lilikuwa upande wa Waingereza (Kenya). - Hali inayofanana na mapatano kuhusu Ziwa Nyasa ambako ziwa lote lilikuwa upande wa Waingereza (=Malawi) ilhali eneo la Wajerumani (=Tanzania) lilianza mwambaoni.
(sijui kama yule mtumishi wa serikali ya Ujerumani aliyeandaa mapatano hakupenda maji? )
 
Dah hii storia mbona hupotoshwa sana, wazungu wa mwanzo kuja Kilimanjaro walikuwa wa German na wakaanza kuitawala Kilimanjaro, na Waingereza wao walikuwa tayari huko Kenya na walitaka iwe settler economy, na hata mipaka ilijulikana na ndio maana hata kipindi ma mangi walipokuwa wanakimbia ubabe wa kiutawala wa German ka adhabu walikuwa wanapewa hifadhi na Waingereza upande wa Kenya huko, pia hii migawanyo ilikuwa inatolewa kulingana na mzungu aliye wahi kufika eneo husika, so Germans walikuwa interested zaidi na Kilimanjaro maana waliwahi kufika na mipaka ilieleweka hivo.
 
Nimepata, si kitabu. Alitoa somo kwenye makumbusho ya kitaifa mnamo 1997. Hataji chanzo chochote kwamba Ujerumani na Uingereza walijadili swali la Mombasa; sidhani kwamba walifanya kweli, maana Waingereza kama Mackinnon na Johnston walikuwa tayari Mombasa:
Na huu ndio ukweli
 
Mkutano wa Berlin hawakugawa maeneo, isipokuwa kukubali madai ya mfalme wa Ubelgiji juu ya beseni ya Kongo. Lakini Berlin walipatana kuhusu utaratibu wa kutambua utawala juu ya maeneo.
Afrika ya mashariki haikuwa na umuhimu wakati wa mkutano wa Berlin, mkutano uliitishwa kwa sababu kulikuwa a ugomvi baina ya mfalme wa Ubelgiji, Waingereza, Wareno na Wafaransa kuhusu pwani la Atlantiki mbele ya Kongo. Wareno walidai ilikuwa eneo lao tangu zamani; Waingereza walipinga kwa sababu hawakutaka kuwapa utawala juu ya mto Kongo uluiotazamiwa kama njia ya maji ya kuingia katikati ya Afrika; Wafaransa na Waingereza walivutana kuhusu haki ya kusafiri kwenye mto Niger (kumbuka: wakati ule pasipo na barabara wala reli usafiri nafuu ulukuwa kwenye maji, maana misafara kwa miguu ilikuwa ghali mno).

Peters na kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki walileta karatasi zao za mikataba (bandia) kuhusu maeneo nyuma ya Mrima (Usagara, Nguru, Useguha na Ukami) baada ya mkutano tu.
Lakini kabla ya Peters kufika Usagara, Mwingereza Johnston aliwahi kufika taveta ambako alifanya mikataba na machifu wa upande ule wa kilimanjaro. Mikataba hii ilikuwa sababu baadaye ya kuona mpaka ulio tofauti katika eneo la Taveta hadi Ziwa Jipe, ilhali menginevyo ni mistari tu iliyochorwa kwa kuweka rula kwenye ramani. ni vile hadi leo.
View attachment 2036220
Unapotosha hyo historia yako mkuu fukua madesa vizuri Kilimanjaro haijawahi kuwa part ya Kenya kamwe, kasome document zako vizuri na hata hyo mikataba haijawahi kuingiwa sijui ya ma Chief wa Taveta kuhusu Kilimanjaro haijawahi kuwekwa kamwe.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom