Fact: Haya ndio magheto ya Wanafunzi wa vyuo mbalimbali

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
5,185
2,100
FACT!
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM.

2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT.

3. Ukaona geto halina kitu ndani zaidi ya mkate wa bakheresa na kopo la maji UJUE huyu jamaa ni wa UDOM

4. Ukaona geto lina visamaki vikavu mezani, Notes za kutosha mezani na jaba pembeni UJUE huyu ni MJAMAA WA MWENGE/MWECAU

5. Ukaona geto lina Mawigi mengi na dressing table pembeni, ngazi ya kuwekea viatu UJUE huyu mjamaa ni wa RUCO IRINGA

6. Ukaona geto lina spray za kila aina, Nguo nyingi hasa za mitumba ambazo zimemodolewa mpaka tight UJUE huyu MJAMAA ni wa USHIRIKA MOSHI.

7.Ukiona geto lina Nyanya na mikungu ya ndizi halafu halafu nje kuna jiko la Mkaa UJUE huyu mjamaa ni wa TEKU mbeya

8. Ukiona geto lina tranka na nje wamevulia buti, viatu vya matope UJUE huyu Mjamaa ni Wa SMUCO MWIKA.

9. Ukaona geto ndan mashuka ya kimasai kinabao, hapa usipatwe na Mashaka, Jua huyu ni Mjamaa wa MAKUMIRA.

10. Ukaona geto lina vimodo, vimini, miwani za tittled, jiko la mafuta ya taa, kitandani mito zaidi ya Minne,Visarafu kwenye meza, Tshirt nyingi za semina za family planning, Ukimwi n.k halafu chini tv ya chogo na king'amuz cha continental Ujue huyu MJAMAA ni wa TIA DSM


JE, KWAKO KUKOJE? ???
 
umeandika upuuzi nilisoma majuu lkn unamawazo ya kike,

Kule tulilala wawili wawili room umbali wa kitanda hadi kingine ni 5metres, ukitaka mnashare apartment mjini.
kila mtu laptop yake. vitabu ni library sio room.

sikumbuki vitu zaidi ya kitanda mashuka yaliyobadishwa kila siku.

kila mmoja washroom lake.

Laundry free. Huku bongo wanafunz washamba sana.
 
Last edited:
Hii ingekaa kwenye jukwaa la utani na mipasho ingekua vizuri sana.Haina maana huku kwa wasomi..Ni kutolitendea haki jukwaa hili
 
Haha noana umeamua kufurahisha watu ila wengine wamechukulia serious kinoma
 
Back
Top Bottom