hadidurejea
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 262
- 380
Dr. Mwele Malecela amuomba radhi Rais Magufuli kwa kumsababisha akosee hadharani kitu ambacho kimetafsiriwa kama kitendo kibaya cha kuisumbua akili ya Rais bila sababu kutokana na madhambi yake aliyotenda.
Tunamshukuru Rais kwa kutoa msamaha baada ya kuikubali radhi hiyo na kweli amesamehe mara saba sabini.
Kwamba Zika haipo?.
Dissemination ya research findings ni kutangaza Janga?. Before that reports za uwepo wa Zika virus infection Tz hazikuwapo?.
Kilichotokea kwenye nchi za latina America ni mlipuko, ila haikuwa na maana kuwa nchi nyingine hamna katika levels ambazo sio that much public threat. Na tafiti zinazoendelea bado vinaonekana, hasa kwa mimba zinazoharibika, kuzaliwa kabla ya muda n.k.
Hakuwa anatangaza Janga, alikuwa anafanya kazi iliyokatika wigo wake ya kutoa matokeo ya utafiti.