Fact Check: Picha zinazosambaa, sio maiti za bahari ya Pemba wakati wa Kampeni

Jambo
Kwani garika ilivyokuja iliua wote mbona Nuhu na familia yake walisalimika. Au MV Bukoba iliua wote.

Please be advised accordingly.
Jambo ambalo huna ushahidi nalo tena linalo husisha jinai ni bora ukakaa kimya kuliko kujiingiza matatizoni. No evidence (no right to accuse) una uhakika gani hiyo Safina ilikuwepo! At least MV Bukoba we where there.
 
Hata miaka 4,000 ijayo wapo pia watakaopinga kuwa MV Bukoba haikuzama.

All in all, watu wameuwawa sana kwenye utawala huu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii toka ipate uhuru.

Surely this is documented and it will go down in history as the most brutal regime ever in the annals of an independent Tanzania.
 
Back
Top Bottom