Facebook yatishia kujitoa endapo hatutakubali "ushoga"

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
FACEBOOK YATISHIA KUJITOA ENDAPO HATUTAKUBALI "USHOGA"





Huenda Facebook ikafikia uamuzi wa kuichijia baharini Uganda katika orodha ya nchi inakopatikana kutokana na msimamo mkali wa nchi hiyo dhidi ya mashoga.


Hivi karibuni Uganda imejikuta kwenye kiti moto kutokana na msimamo wake kwa mashoga huku wabunge wakipanga kupitisha muswada wa sheria dhidi ya ushoga ambayo itakuwa na adhabu kali kwa jamii hiyo.

Hatua hiyo imezifanya baadhi ya nchi wahisani kutishia kuweka vikwazo vya kifedha na usafiri kwa viongozi walio mstari wa mbele kukandamiza haki za mashoga nchini Uganda.

Inadaiwa kuwa mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg atatoa tamko rasmi kuhusiana na Uganda.


Kama hatua hiyo ikichukuliwa makampuni mengi yanayotafuta kujijenga kupitia mtandao huo wa kijamii yataathirika vibaya.

WAMEANZA NA UGANDA...TUNAWASUBIRI WAJE NA TANZANIA ILI WAUONE MSIMAMO WETU.....


 
kweli shetani amefanya kazi kubwa sana,hadi hapa tulipo Mungu tu ndio anatulinda.
Yaani baada ya makampuni kuanza kuwekeza business zao kwa kujitangaza via FB na kununua hisa hiyo hiyo FB ndio inatumika kuhalalisha upuuzi (USHOGA).
Yaani wenye kuhitaji wakilianzisha tu lazima mkubali maana mtaanza nyimwa misaada etc.

Hii inatupatia fundisho kuwa tusimtegemee mtu au nchi maana atatusaidia ili yeye anufaike,nchi kama CHINA haya mambo kutokea ni ngumu maana wako strict na kuingiliwa si rahisi kwa nchi zetu za Africa haya mambo kutokea si ajabu misaada itafungiwa sana
ila tusimamie ukweli kuwa Mungu hakukosea kuumba Mwanamme na Mwanamke
 
Wakitaka kuifunga waifunge tu kwani haina faida kwetu. Suala la use.nge is a personal issue na ndiyo maana serikali haiwezi kusema Tanzania ni nchi ya was.enge hadharani. Tuna was.enge wa kila aina hapa Tanzania sema tu FB hawataki kufanya utafiti.
 
Kwani Fb na Mwenyez Mungu nani zaidi?waifunge Mwenyez Mungu muumba aliyekataza usodoma na ugomora atatupa njia ya kuishi bila ya misaada ya mashoga
 
wajitoe si tunatengeneza zetu .. Kwani wakati wanatengeneza walituambia? .. But thi is hoax haina ukweili
 
Sasa mbona heading umeweka kama ndo habari yenyewe wakati ni speculations zako mkuu? Plz edit kichwa cha habari uweke ulizo bwana, umeandika kama magazeti ya tz.
 
Tanzania haiwezi kufungiwa kwa kuwa mpaka sasa Mashoga wapo kila kona hakuna shoga alokwisha kamatwa kwa makosa hayo japokuwa kila siku wao wenyewe wanajitangaza kwenye magazeti na blog na Taasisi kama TGNP imeshawahi kuhamasisha ufedhuli huu, upuuzi utaoshindikana Tz hauwezi kuwezekana popote kwenye Sayari hii ya tatu kutoka lilipo jua
 
"Hatutakubali Ushoga" kumbe Uganda! Anyway hapa kwetu mashoga wapo tena dizain kama wanazidi hivi,huyo bwana aje na hapa kwetu atoe sharti hilo aone...
 
By the way what is FB? Do we think a country can not live without FB? Wale jamaa wanatumia misaada kama fimbo ya kupitisha mambo yao. Umefika wakati tuache kuomba omba.
 
Kwa uvunjaji wa haki Uganda ilikuwa wasijifanya wakali kwa swala dogo kama muwasho wa makalio
 
Back
Top Bottom