Facebook yashtakiwa tena ikituhumiwa kuingilia faragha za watumiaji wa Istagram kupitia kamera za simu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Kampuni ya Facebook imeshtakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji.

Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu ya programu (bug) ambayo inairekebisha. Imesema kuwa ‘bug’ hiyo ilikuwa ikitoa taarifa (notification) kwa watumiaji wa Instagram kuwa iPhone inatumia kamera zao, jambo ambalo halikuwa kweli.

Katika kesi hiyo iliyofunguliwa New Jersey, Marekani, mtumiaji wa Instagram ambaye ni mlalamikaji, Brittany Conditi, amesema kuwa programu hiyo (Facebook) inatumia kamera za iPhone kwa makusudi ili kukusanya taarifa za siri watumiaji ambazo hawawezi kuzikusanya kwa njia nyingine.

Katika kesi nyingine iliyofunguliwa mwezi uliopita Facebook ilituhumiwa kutumia teknolojia ya utambuzi wa sura (facial-recognition) kukusanya taarifa (biometric data) za watumiaji wa Instagram zaidi ya milioni 100 kinyume na sheria. Hata hivyo kampuni hiyo ilikanusha madai hayo kwa maelezo kuwa Instagram haitumii teknolojia hiyo.

=============================

In August, Facebook was accused of illegally harvesting the biometric data of users from its photo-sharing app Instagram. Now the social media giant is being sued again, this time for spying on Instagram users through their smartphone cameras, reported Bloomberg.

The new lawsuit, filed Thursday (Sept. 17) in federal court in San Francisco by Instagram user Brittany Condi, claims Facebook gained access to Instagram users’ smartphone cameras without their permission. She alleges Facebook spied on users to collect “lucrative and valuable data on its users that it would not otherwise have access to.”

By “obtaining extremely private and intimate personal data on their users, including in the privacy of their own homes,” Instagram and Facebook collected “valuable insights and market research,” the complaint said.

The suit follows media reports from July when a “bug” in Instagram’s code led users to believe the app was turning on their cameras without permission. Some users, according to The Independent’s story in July, said they noticed a green indicator (seen below) at the top of their iPhone’s Control Panel that showed the camera was activated. Users believed Instagram had been spying on them.


Facebook Sued In Federal Court For "Spying" On Instagram Users Through Camera – True Pundit
 
Back
Top Bottom