wakuu haipatikani kabisa,au wametupiga ban hapa wote?
Wwakuu haipatikani kabisa,au wametupiga ban hapa wote?
:fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:Bosi wenu atakuwa amemwamuru system admin kui-block kabisa hiyo baada ya kugundua mnatumia muda mwingi wa mwajiri kwa ajili ya ku-chat kwenye mtandao wa kitoto!
Nampa Heko huyo Boss maana nauchukia sana huo mtandao wa facebook!!!
Bosi wenu atakuwa amemwamuru system admin kui-block kabisa hiyo baada ya kugundua mnatumia muda mwingi wa mwajiri kwa ajili ya ku-chat kwenye mtandao wa kitoto!