Facebook will be shutting down any time soon?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wataalam wa facebook tunaomba taarifa kama ndio tayari facebook ishafungwa rasmi manake haipatikani
 
Bosi wenu atakuwa amemwamuru system admin kui-block kabisa hiyo baada ya kugundua mnatumia muda mwingi wa mwajiri kwa ajili ya ku-chat kwenye mtandao wa kitoto!

Nampa Heko huyo Boss maana nauchukia sana huo mtandao wa facebook!!!
 
:fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:
 
Mwenyewe nimejaribu imekataa nikafikir mtandao nimejaribu JF ikakubali
 
Bosi wenu atakuwa amemwamuru system admin kui-block kabisa hiyo baada ya kugundua mnatumia muda mwingi wa mwajiri kwa ajili ya ku-chat kwenye mtandao wa kitoto!

Nampa Heko huyo Boss maana nauchukia sana huo mtandao wa facebook!!!

mkuu hiyo point yako naikubali,
mimi binafsi nimepiga sana kelele watu wajaribu kutumia facebook wakati wa ziada,lakini leo mchana wakati wa lunch nilijaribu kufungua ndio hivyo imepotea moja kwa moja,hata ukitumia computer tofauti na isp tofauti ni yaleyale
 
Bosi wenu atakuwa amemwamuru system admin kui-block kabisa hiyo baada ya kugundua mnatumia muda mwingi wa mwajiri kwa ajili ya ku-chat kwenye mtandao wa kitoto!

Nampa Heko huyo Boss maana nauchukia sana huo mtandao wa facebook!!!

kwanini unauchukia ivo mkuu?
 
Back
Top Bottom