Facebook vs matangazo ya bunge

mafimboo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
2,415
977
kweli siasa ni mchezo mchafu,aliyetuambia elimu ni kuandika na kujaza makaratasi na alaaniwe,plato aliwahi kusema elimu ni kuwa nauwezo wa kufikiri kuchanganua nakupambana na mizingira unayoishi msikilize mheshimiwa msomi waziri ati"wananchi hawafanyi kazi kwasababu ya kuangalia bunge na serikali imeona ni gharama kubwa kuonyesha bunge kwahiyo imesitisha" ameshindwa kuleta uthibitisho ni wapi wananchi wamekufa kwa njaa wakiangalia bunge,kati ya bunge na whatsapp,facebook na istagram kipi kinaongoza kinatafuna muda kwa watanzania,watumishi wengi wa umma hawaangalii sana bunge ila wana muda wakutosha kuchati facebook ,haya futeni na facebook
 
Kumbe kuangalia bunge ni 'muda wa hovyo'? Sasa unalia nini kuondolewa huo muda wa ovyo?
 
Back
Top Bottom