Facebook na twitter mpango mzima cairo-egypt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook na twitter mpango mzima cairo-egypt

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Don Alaba, Jan 28, 2011.

 1. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Social network hizi zimeweza ku organise watu faster, na TZ je tutumie nini watu wapate uelewa tupinge ufisadi kwa pamoja kama wenzetu wanachoendelea kukifanya mpaka waone changes leo baada ya sara ya Ijumaa Cairo itakwa ya moto sana Hosni Mubarak lazima akubali leo kwamba watu wamechoka since 1981?
   
 2. D

  DENYO JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamii forum inafanya kazi hiyo bila woga. Lakini pia facebook inafanya kazi yake -muda si mrefu opreshen sangara itaanza na makangamano ya kutosha.
   
 3. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  facebook_logo.png c1main.egypt.socialmedia.gi.jpg

  Social network hizi zimeweza ku organise watu faster, na TZ je tutumie nini watu wapate uelewa tupinge ufisadi kwa pamoja kama wenzetu wanachoendelea kukifanya mpaka waone changes leo baada ya sara ya Ijumaa Cairo itakwa ya moto sana Hosni Mubarak lazima akubali leo kwamba watu wamechoka since 1981?
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kuna dawa za kusmoke nafikiri hii dawa kama wakipuliziwa sangara sidhani kama kuna atakaebakia hai.
   
Loading...